Uchaguzi 2020 Kwa jinsi ninavyomuona Mgombea CCM hataki kufanya kampeni ajue ni wakati wa kuomba Ajira

Wapo bize kutunga uongo ili kuonesha namna walivompa laptop kila mwalimu indirectly..... [emoji1787][emoji1787]
Maccm ng'ombe labisa
[emoji16][emoji16] Elimu bure=nyongeza ya mshahara
 
Wakurugenzi walishamuhaidi kura za kishindo kwenye masanduku ya kura
 
Kura zake dola itampigia kwa kuiba hamna haja ya kumchosha
 
Katika uchaguzi ambao CDM mumekosa mishe ni mwaka huu.
Ile kauli "Chadema inaenda kufa" ipo mbioni kutimia.
Kuisha uchaguzi huu na Chadema kudee.
 
Kiitikio: tumeibiwa kura
 

Ni kweli hata mimi naona MAGU hana hamu kabisa na kampeni. Ingekuwa amri yake ange cancel uchaguzi wote. HATA HIZI FIGISUFIGISU ZA KUENGUA WAGOMBEA ILIKUWA NI MKAKATI WAPINZANIA WAJITOE CCM ITANGAZWE MSHINDI. MAGUFULI HANA HAMU NA KAMPENI HASA KUZUNGUKA NCHI NZIMA HATAKI.
 
Kwa jirani kunafuka moshi..bashasha litatoka wapi!? Kuna hali fulani ya wanafamilia kususia kampeni
Too early kusema wamesusa.Mtakuja kusema nini mkiwaona hao mnaosema wamesusa siku ya 10,20 au 40??
 
Mwaka huu wapiga kura wanapanda Malori kwenda kusikiliza sera badala ya wagombea kwenda kwa wapiga kura.​
 
[emoji16][emoji16] Elimu bure=nyongeza ya mshahara
Wapo bize kutunga uongo ili kuonesha namna walivompa laptop kila mwalimu indirectly.....
Maccm ng'ombe labisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…