Kwa jinsi ninavyowaona hawa jamaa, maumivu ya goli 2 bado yanawatesa licha ya kutinga nusu fainali

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Poleni sana kwa maumivu makubwa licha ya kufanikiwa kulinda magoli yenu mliyoshinda ugenini.

Wengi mlitarajia leo mtashinda angalau goli 3 ili kuwapungunzia maumivu ya michomo miwili ya kibabe ambayo itawatesa msimu huu wote. Lakini wapi.

Wengi hamna ngebe kabisa na siwaoni mkifurahia kuingia kwenu nusu fainali bila kumtaja mnyama ambaye hata hivyo bado hamjamfikia ukubwa wake kimataifa. Mnaumia sana kwa ndani, siyo kawaida yenu. Uthibitisho unafuata hapa katika uzi huu.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya michomo 2 ukaongoza ligi? Wazee wa zamani uwa wanaona mbali, Rage alishaona wafuasi wake walivyo na udumavu wa akili, watu wanaangalia mataji nyie mnaangalia kumfunga yanga? Ukubwa wa timu unapimwa na nini labda utueleweshe hapa!
 
Back
Top Bottom