Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi.

Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa kupandikizwa ambae baadae watasema amewaambia alitumwa na Chadema kumshambulia Dr. Kitime kwa lengo la kuichafua serikali. Polisi wanapojua dola inahusika huwa wanatafuta namna ya kuikwepesha lawama, kama ambavyo mtakumbuka mtu waliesema amekamatwa kuhusiana na kutekwa kwa Dewji, ambae sasa kila mtu anajua alikuwa pandikizi na utekwaji wa Dewji ulihusiana na bifu lake na Magufuli kwenye suala la korosho.

Hii ndio serikali yetu na jeshi letu la Polisi na chama chenu cha CCM.
 
Au utasikia hakupigwa, alianguka baada ya kupata kinywaji kwa muda mrefu! Ni rahisi umwamini black mamba anaweza asikuume ukibiliana nae kuliko kuwaamini Polisi wetu katika matamko yao
 
Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi.

Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa kupandikizwa ambae baadae watasema amewaambia alitumwa na Chadema kumshambulia Dr. Kitime kwa lengo la kuichafua serikali. Polisi wanapojua dola inahusika huwa wanatafuta namna ya kuikwepesha lawama, kama ambavyo mtakumbuka mtu waliesema amekamatwa kuhusiana na kutekwa kwa Dewji, ambae sasa kila mtu anajua alikuwa pandikizi na utekwaji wa Dewji ulihusiana na bifu lake na Magufuli kwenye suala la korosho.

Hii ndio serikali yetu na jeshi letu la Polisi na chama chenu cha CCM.
Na watasema hivyo maana si mapolisisiemu
 
Mmeanza kujihami? CHADEMA yenye kashfa ya kulipua bomu kwenye mkutano wao wenyewe pale Soweto, Arusha wanaweza pia kuwa wamefanya hivyo ili kupata kiki ya kisiasa.
 
Gazeti la Mwanahalisi lilitoa taarifa ya aliyemteka Dr Ulimboka(Ni mtu kutoka TEETH) ,lilienda mbali hadi kutoa miamala ya malipo aliyowalipa watekaji na hadi mawasiliano aliyofanya na Dr Ulimboka lakini Suleman Kova(Alikuwa Kanda maalum DSM wakati huo) alikuja kubadili gia angani na kusema aliyemteka Dr Ulimboka ni Joshua Mulundi kutoka Kenya ambaye alidakwa baada ya kwenda kuungama kwa Josephat Gwajima Kawe.
 
Sio kujihami, tunawajua Polisi wa Tanzania.
 
Gazeti la Mwanahalisi lilitoa taarifa ya aliyemteka Dr Ulimboka(Ni mtu kutoka TEETH) ,lilienda mbali hadi kutoa miamala ya malipo aliyowalipa watekaji na hadi mawasiliano aliyofanya na Dr Ulimboka lakini Suleman Kova(Alikuwa Kanda maalum DSM wakati huo) alikuja kubadili gia angani na kusema aliyemteka Dr Ulimboka ni Joshua Mulundi kutoka Kenya ambaye alidakwa baada ya kwenda kuungama kwa Josephat Gwajima Kawe.
Huwa wanadanganya hawapepesi hata macho. Kama kuna mahali wanachoma waongo basi Polisi wa Tanzania watachomwa sana!
 
Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi.

Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa kupandikizwa ambae baadae watasema amewaambia alitumwa na Chadema kumshambulia Dr. Kitime kwa lengo la kuichafua serikali. Polisi wanapojua dola inahusika huwa wanatafuta namna ya kuikwepesha lawama, kama ambavyo mtakumbuka mtu waliesema amekamatwa kuhusiana na kutekwa kwa Dewji, ambae sasa kila mtu anajua alikuwa pandikizi na utekwaji wa Dewji ulihusiana na bifu lake na Magufuli kwenye suala la korosho.

Hii ndio serikali yetu na jeshi letu la Polisi na chama chenu cha CCM.
Inasikitisha sana
 
D
Gazeti la Mwanahalisi lilitoa taarifa ya aliyemteka Dr Ulimboka(Ni mtu kutoka TEETH) ,lilienda mbali hadi kutoa miamala ya malipo aliyowalipa watekaji na hadi mawasiliano aliyofanya na Dr Ulimboka lakini Suleman Kova(Alikuwa Kanda maalum DSM wakati huo) alikuja kubadili gia angani na kusema aliyemteka Dr Ulimboka ni Joshua Mulundi kutoka Kenya ambaye alidakwa baada ya kwenda kuungama kwa Josephat Gwajima Kawe.
Duuh
 
Inasikitisha sana
Haya ni mambo ambayo kuna nchi zilipinduliwa, ikaandaliwa list ya watu wa kupigwa risasi hadharani. Katika kichwa changu nina list kama hiyo kwa Tanzania, kama ingetokea!
 
Mungu aepushe mbali. Mambo hayo ni mabaya sana

Mambo haya ni mabaya lakini yanachochewa na vitendo vya watu wanaofanya kama wanavyofanya Polisi wa Tanzania, na hao wasiojulikana ambao siku hizi wanajulikana
 
Na watasema hivyo maana si mapolisisiemu
Hebu angalia hapa;

Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake shambulio dhidi yake lilifanywa alipotoka eneo la mgahawa ambalo siku zote hulitumia kwa shughuli zake.

"Ile taarifa ya polisi inayosema kuwa alikuwa anapata kinywaji kuanzia saa 1 hadi 4 na robo usiku imepotosha, ukweli hakuwa anapata kinywaji alikaa eneo la mgahawa ambalo ndilo siku zote hufanyia kazi zake," amesema.

"Kuhusu taarifa ya polisi, Askofu Pisa amesema kwa namna ilivyo inaonyesha Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji kwa saa kadhaa, jambo ambalo kwa tafsiri ya kawaida jamii itadhani ni pombe".

"Kusema alikuwa anapata kinywaji kwa saa zote hizo ni kwamba alikuwa anakunywa pombe na pengine kapigwa na walevi, hili sio kweli tunaandaa taarifa kamili," amesema Askofu Pisa.

Unaona sasa Polisi wetu wasivyo na aibu? Laana kabisa hawa watu
 
Hawa ndio mapolisi aka majambazi au wauaji
 
Back
Top Bottom