chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027.
Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana.
Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti vipya 20,000, na vyenyewe hawatavifunga katika uwanja, kwa nini isiwe viti 60,000? Viti 40,000 vimeenda wapi? Au hela yake imeenda wapi?
Mnaenda kuvifunga katika viwanja via CCM?
Nikiangalia uwanja wa Arusha, awali tuliambiwa unagharimu bilioni 250, leo Waziri anasema 280.
Lakini FIFA waliandaa tamasha lao hapa Tanzania, tukaambiwa wamekarabati uwanja kwa bilioni 30, is it? Or it is? Then AFCON serikali inaweka almost the same amount au zaidi! Bilioni 60 za ukarabati!?
Rwanda ameona kitu, hata uwanja wa Dodoma hausikiki tena kujengwa.
Kinachoonekana ni kuishinikiza Zanzibar ipangue viti ili spacing yake iendane na viwango via FIFA, therefore Amani Stadium is under reconstruction.
Inawezekana bid hii ikaongeza nchi ya Rwanda, Zika wa nchi nne. It's a matter of time kabla hosting ya AFCON haijawa re-negotiated.
Hii ni Amahoro Stadium, halafu CAF waitupie Morocco, Ethiopia, na nchi zenye warembo pale Rwanda Amahoro Stadium, itakuwa Eden hia hia on earth.