Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

Kenya ndo wapo nyuma sana kwenye ujenzi wa viwanja..
Taifa lenyewe halina hata culture ya football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…