Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwa namna system yetu inavyojihusisha na mambo ya kipuuzi ikiwemo kutengeneza moles kwenye vyama vya Upinzani makini ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuendelea kuitawala Tanzania na kuwanyanyasa raia masikini wa Taifa hili kwa kweli sishashangai saivi nikiona Tanzania tunapigwa hadi na vikundi vya Waasi huko Congo na tunaweka mpira kwapani.
Kama tungekuwa na System yenye akili, kwa namna CCM walipolifikisha hili Taifa ambapo Wananchi wengi ni masikini huku Viongozi wakiwaibia fedha ambazo zingepaswa kutumika kuwapa huduma bora za afya, barabara na maji, Nguvu kubwa ingetumika kuwalinda Viongozi wa Chadema na kuhakikisha hawajumiwi katika kushika dola.
Ila kwa sababu tumekuwa na system maslahi binafsi, iliyojaa wajinga wasio na uwezo wowote zaidi ya kuwa machawa ndo mana tunaona wanasiasa wakombozi kama Chadema ya Lissu na Heche ikifanyiwa hila zote ili Wasiwafungue akili Watanzania.
Naomba System ya Tanzania mbadilike. CCM sio Baba zenu wala Mama zenu. Tanzania inavyozidi kuharibika chini ya ujinga wa CCM hasara ni kwa wote wakiwemo vizazi vyenu.
Weekend nguvu kwenye mambo ya msingi nchi yetu iwe Taifa bora kwenye kila nyanja.