Si wabantu tu hata waarab wanatumia sana uchawi uliopo ndani ya Qur'an kwa kinga, ulaghai, na vinginevyoVitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini ushirikina naona kuwa Kinjekitile aliamini dawa yake itafanya kazi.
Hadi leo watu wanajikinga kwa uchawi. Wezi wakikamatwa hukutwa na hirizi kubwa eti wanajikinga na vipigo. Wabantu imani za kishirikina zina sehemu kubwa sana kwenye maisha yetu.
Sio mzimu mmoja huoWala babu wa Loliondo.
Wewe jamaa upo??Heri ya mwaka mpyaKinjekitile aliwahi kuhojiwa na BBC na akakiri kuwa dawa ile ilibadilisha risasi kuwa maji. Yeye mwenyewe alikiri hilo.
Yangekuwa afadhali kuliko kutegemea uchawi. Pengine nao wangekuwa na akili ya kupata bunduki. Wanafalsafa wa vita wanasema ni uchawi ni mwiko jeshini.Hivi wapiganaji wale wangeambiwa ukweli na kutumia mbinu za ambush kama Mkwawa, uwezekano wa ushindi ungekuwaje?