Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki aitwae Jaiforey.

Na kwa Kuanzia tu nimeamua Kuvipendekeza Vyuo Vikuu vya UDOM na Chuo Kikuu Huria japo natamani pia nikipendekeze hata na UDSM lakini bado sijafanya Maamuzi yangu Kamili.

Kikubwa nitaomba tu Ushirikiano wao!!
 
Lini hao mbwa na paka waliandika proposal na kufanya utafiti hatimaye watunukiwe PhD?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi vyeti vya PhD za makada was ccm hata kibaka wa mburahati kwa jongo hawezi viiba in short ni uchafu
 
Back
Top Bottom