Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

joto la dar sio powa huku kigamboni sio powa hadi nimeenda kupiga show game baharini na mtoto wa kiitaliano lakini bado naskia joto kalii sana hapo nipo napepewa na upepo wa baharini na ufagio wangu huku nikisikiliza goma la the weeknd too late
Hope urassa ephen_ Mpo wapi mpaka waitaliano wanafill in the blanks, joto litawaua kindly.🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…