Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Dar ni joto ila kuna special cases kama Buguruni......kuna mwamba juzi alinichekesha anasema siku hizi bro hili joto watu wa Buguruni tunalala halafu usiku tunatoka nje unaoga na kupumzika 😀
Buguruni kama wamelaaniwa hvi mkuuu daaah yaani watu wa kule mi sijawahi waelewa
 
Back
Top Bottom