Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani).

Hiyo amani ndio uzima wenyewe.

Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua.

Madeni ni maumivu makali.

Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho.

Mungu aliposema hutakopa bali utakopesha alijua adha ya kuwa mdaiwa.

Screenshot_20240227-181138.jpg
 
Kama hauna uwezo wa kutumia pesa kuzalisha pesa kaa mbali na madeni ,kama una fanya biashara hauwezi kukwepa madeni nisehemu ya kazi yako.
 
Hutokopa utakopesha...sasa huyo anaekopesha atakopesha nani kama siyo watu?
 
Aikoooooo! Madeni yanatesa jamani 🤣 🤣
 
Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni swala lingine.
 
Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni suala lingine.
 
Kwamba hamuoni kila mara Waziri fulani ameshika bango Tanzania yasaini Mkopo wa bilion kadhaa, trilion kadhaa.

Je ukichukua muktadha huo mtoa mada unaongeleaje kukopa Vs perception yako.

Kwa ufupi tu matajiri wote unao waona hapa Tanzania hayupo asie kuwa na mkopo.
 
Back
Top Bottom