Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Feb 27, 2024 #1 Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu aliposema hutakopa bali utakopesha alijua adha ya kuwa mdaiwa.
Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu aliposema hutakopa bali utakopesha alijua adha ya kuwa mdaiwa.
Yuda Legacy JF-Expert Member Joined Jun 21, 2023 Posts 778 Reaction score 2,764 Feb 27, 2024 #2 NENO LASEMA HAUTAKOPA BALI UTAKOPESHA LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Feb 27, 2024 #3 Kama hauna uwezo wa kutumia pesa kuzalisha pesa kaa mbali na madeni ,kama una fanya biashara hauwezi kukwepa madeni nisehemu ya kazi yako.
Kama hauna uwezo wa kutumia pesa kuzalisha pesa kaa mbali na madeni ,kama una fanya biashara hauwezi kukwepa madeni nisehemu ya kazi yako.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Feb 27, 2024 #4 Hutokopa utakopesha...sasa huyo anaekopesha atakopesha nani kama siyo watu?
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Feb 27, 2024 #5 Aikoooooo! Madeni yanatesa jamani 🤣 🤣
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Feb 27, 2024 #6 Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni swala lingine.
Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni swala lingine.
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Feb 27, 2024 #7 Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni suala lingine.
Dalili moja wapo ya umasikini ni kuamini katika kuto kukopa ila unakopa ili ufanyie shughul gani ni suala lingine.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Feb 27, 2024 #8 Nadaiwa ada za watotho,jana nimefika home kila mmoja kaniletea karatasi ya ada.
P Phaul JF-Expert Member Joined Jun 30, 2023 Posts 295 Reaction score 551 Feb 27, 2024 #9 Uko sawa mkuu. Hizi ofisi za mikopo mitaani ni mitego ya huyo ibilisi na mawakala zake hata deni dogo tu ina kuwa vigumu kulipa.
Uko sawa mkuu. Hizi ofisi za mikopo mitaani ni mitego ya huyo ibilisi na mawakala zake hata deni dogo tu ina kuwa vigumu kulipa.
hagau JF-Expert Member Joined Dec 17, 2023 Posts 696 Reaction score 2,501 Feb 27, 2024 #10 Kwamba hamuoni kila mara Waziri fulani ameshika bango Tanzania yasaini Mkopo wa bilion kadhaa, trilion kadhaa. Je ukichukua muktadha huo mtoa mada unaongeleaje kukopa Vs perception yako. Kwa ufupi tu matajiri wote unao waona hapa Tanzania hayupo asie kuwa na mkopo.
Kwamba hamuoni kila mara Waziri fulani ameshika bango Tanzania yasaini Mkopo wa bilion kadhaa, trilion kadhaa. Je ukichukua muktadha huo mtoa mada unaongeleaje kukopa Vs perception yako. Kwa ufupi tu matajiri wote unao waona hapa Tanzania hayupo asie kuwa na mkopo.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 27, 2024 #11 Amen Pastor Sadaka Tunatoa Wapi
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Feb 27, 2024 Thread starter #12 Kennedy said: Amen Pastor Sadaka Tunatoa Wapi Click to expand... Kama Yesu aliwaambia wanafunzi watoe bure, hata kufufua wafufue bure Mimi nimefanya nini kikubwa mpaka nitake sadaka?
Kennedy said: Amen Pastor Sadaka Tunatoa Wapi Click to expand... Kama Yesu aliwaambia wanafunzi watoe bure, hata kufufua wafufue bure Mimi nimefanya nini kikubwa mpaka nitake sadaka?