Kwa kabila Lenu Unaiitaje hii kitu

Kwa kabila Lenu Unaiitaje hii kitu

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Embu tujifunze majina Ya Ndizi Kisukari kwa makabila tofauti tofauti Kikwenu
Unaiitaje ??

dcf7da1b422b854c8c3d22a721da1273.jpg
 
Kuna mtu mwenye id humu yenye jina la hiyo kitu kwa trible yangu!
 
Kijiji chetu hakina ndizi sukari na zilizopo huitwa...

Ndisi
 
Back
Top Bottom