masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Hiyo ni nadharia ila in reality iko vice versaHujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
Hujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
CCM siyo Makonda, na mark my words, Makonda ataingia chupa!Hujui kwamba CCM ndo mwajiri wa Serikali nzima ya SAMIA na Samia mwenyewe?
Bites biteni kazi iendelee pale Mnyeti... Pale Paulo pale yuleee wa kulee anatafutiwa wizara soon mtakoma😁Deep state wanaakili sana!
Baada ya kumtumia konda boy enzi zile na kufanikisha sasa wanamtumia tena kwa mara nyingine wanamtumia kumalizia mission nyingine...