Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

Tatizo lenu mnamuangalia Mokonda kama Makonda, Makonda haongei kwa utashi wake apo kila analoliongea ni maagizo ya chama na makonda hajamuamrisha waziri mkuu bali chama ndo kimemuamrisha waziri mkuu.
Katibu wa itikadi na mwenezi....
Ukisoma katiba ta ccm utajua majukumu yake.
 
Kwa yanayoendelea na Makonda ni wazi ccm iko vipandevipande
 
Anguko hilo linakuja muda si mrefu! Fuatilia nasaha za Kinana kwenye mazishi ya marehemu Zelothe Stephens kuhusu β€œ Viongozi na heshima” katika jamii.
Ni kweli kabisa.
Kinana, Chongolo na hata Majaliwa, hawatakaa kimya na kumsikiliza tu huyu mwana mpotevu.
 
Tulizenieni mpewe dozi,watu wa kawaida wanamtaka makonda ila nyie wenye tuvyeo Sasa ndio mnaweweseka hatari

View: https://www.instagram.com/p/CzG7AjlMX-c/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Kwa yanayoendelea na Makonda ni wazi ccm iko vipandevipande
Kama wakipasuana humo ndani kisha nje wakakubalika hiyo haina shida. Ila hata kama wakielewana ndani kisha nje hawakubaliki hawatafika popote.

Kuna wakati walikuwa wanaelewana ndani kisha nje wakawa wanapigwa mawe wakivaa unifomu..au nyumba inachomwa moto ukiweka bendera ya ccm..na chama kikamfia JK mkononi maana hata mzazi ulikuwa ukionekana una element za uccm basi watoto lazima wakuchape makofi.
 
Waziri Mkuu Majaliwa anatafutiwa ajali, inaonekana hatakiwi ila hakuna namna ya kumng'oa.....swali ni kwa kosa gani?
Kimetengenezwa cheo cha Naibu Waziri Mkuu na sasa anapewa miezi sita aumbe ardhi wakati ipo miaka yote, kama sio uchuro ni nini?
 
Waziri Mkuu Majaliwa anatafutiwa ajali, inaonekana hatakiwi ila hakuna namna ya kumng'oa.....swali ni kwa kosa gani?
Kimetengenezwa cheo cha Naibu Waziri Mkuu na sasa anapewa miezi sita aumbe ardhi wakati ipo miaka yote, kama sio uchuro ni nini?
Inaelekea Majaliwa ni tishio kwa mama.
 
Sema makonda amejua kuwafuruga, saiv akuna cha dp wala nyokwe saivi wote ni wimbo mmoja tu MAKONDA.
Hajamvuluga yoyote , may wajinga, nchi hii ni kubwa sana Makonda ni nukta ya tone ndani ya Bahari, safari hii acha alete michezo yake atajua hajui
 
Nani kamloga mama yetu? Watu wabaya sana, siyo JK kweli? Basi km ni JK hana nia nzuri na rais wetu. Makonda kwa viwango vyovyote vile ni binadamu mwenye uwezo mdogo sana kiakili. Watu wenye IQ km Makonda tabia yao kuu ni kupenda makuu, sifa mbele za watu, kupenda kuwadhalilisha wengine. Makonda ni km mwehu asiyejua hata majukumu ya nafasi yake. Nilimwona mkuu wa mkoa wa Dodoma alichukia wazi alivyomwita km mtoto mdogo, "eti njoo na ukimbie" Hata rais Magufuli na mbwembwe zake hakuwahi kufanya vile. Mi najiukiza yule kima yeye km yeye atamfanya nini kiongozi, au mpaka amshauri rais? Nasikitika tumefika hatua ya kuongozwa na zuzu km Makonda. Ila mama atavuna alichopanda
 
Kukemewa kwa kukosea hakuna mdogo wara mkubwa hasa kwenye maswara yanayo husu taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…