Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

Kajamaa kanakauli za hovyo,hii serikali ni ya taifa haiendeshwi kichama mapumbafu hayaelewagi ndomana tunataka katiba mpya!!
Wamemleta kuitisha chadema Sasa anawatisha wao wenyewe... SHAME!!
 
Makonda katumwa alianzishe.
Mtego wa kwanza naibu waziri mkuu. Huu Ni wa pili.
Mganga wa makonda kamuahidi cheo kikubwa zaidi ya hicho.
 
Katibu mwenezi ni cheo kidogo sana ndani ya CCM, sema advantage ni kwamba jamaa anakuwa mjumbe wa vikao vyote vya chama.
 
Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu.

Scroll down slowly and carefully and check all images

 
Makonda walio juu yake ni mwenyekiti wa ccm taifa,makamu mwenyekiti,katibu mkuu,anafuata mwenezi taifa Ambaye ni yeye.serikali nzima kuanzia juu mpk chini ni wadogo kwenye chama.
 
Kiutani utani hata mswada wa kuwapa wake za vigogo mafao utapitaa.....nchi ipo bize na makonda
 
Yupo mdau kasema kipo chama kimezamishwa mfukoni kwa Ntu,isije kuwa ndio lilikuwa dingo lenyewe🤣
 
Yupo mdau kasema kipo chama kimezamishwa mfukoni kwa Ntu,isije kuwa ndio lilikuwa dingo lenyewe🤣
Sasa hilo lina uhusiani gani na Makonda kumwamuru Waziri Mkuu?
 
Kiutani utani hata mswada wa kuwapa wake za vigogo mafao utapitaa.....nchi ipo bize na makonda
Huo utapita ila wa bima utakwama,katiba mpya na tume huru ya uchaguzi🤔
 
Kwahiyo ile tabia ya magu na watu wake ilikua mbaya au nzuri

Maana mnatuchanganya mjue…. Pakiwa kimya kelele, pakifukuta kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…