Kwa Kagame hii Simba mngetia aibu

Kwa Kagame hii Simba mngetia aibu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nafwatilia Kagame Cup.

Sitokuwa mchoyo wa mawazo kwa simba iliopo sasa ingekanyaga mngelia sana, mushukuru Yanga kushauri msikanyage, yaani huko mbelen labda Yanga ndio inaweza fika mbali.

Rev Pdidy
 
Baada ya mawindo kuwa magumu, mnyama mbumbumbu asiyejua kuwinda alazimika kushindia mapeasi huko Lushoto.

Simba koko hatari sana.
 
Baada ya mawindo kuwa magumu, mnyama mbumbumbu asiyejua kuwinda alazimika kushindia mapeasi huko Lushoto.

Simba koko hatari sana.

Tayari wameenda Zanzibar kwa "mtalaam" kujiwinda kwa ajili ya mechi na Yanga msimu wa ligi ukianza.
 
Canavaro,,Msuva,Tambwe!hawa watu ninachuki nao sana!!mpaka wafute makosa yao ndio tutakua pamoja

Kupiga penati ni janga la dunia bibie, hope uliona Argentina walivyokuwa wanapiga fyongo pamoja na kusheheni mastaa wa dunia
 
Taarifa zilizopo kwa maara ya kwanza simba wamepanga kwenda Tanga kujiandàa na mechiya Yanga itakapokaribia....mmh waseme wanafwata ninii
 
Tunawasubiri Ligi ianze manake, mlifanya zengwe tusicheze Kagame. pigeni kelele kwa sasa uwanja ni wenu.
 
Gamaha mtushukurusana kwahilo musonye anashindwa kuwambia ukweli..kagame yasasa sioilee .wanaume wamejiandaa wenyenguvu ndio watakaopita...
 
Gamaha mtushukurusana kwahilo musonye anashindwa kuwambia ukweli..kagame yasasa sioilee .wanaume wamejiandaa wenyenguvu ndio watakaopita...
We Pdidy kisa mlifungwa nyie na gormahia basi mnajua kila club ingefungwa. Acha mawazo ya finyu kagame tu mnasuasua afu mnaongeeea mbona kwenye shirikisho midomo mliweka superglue?? Kule ndio kuna wakaza buti siyo kagame kiligi cha wanaojifunza soka hata nchi zinazojielewa hazitaki kuandaa ila Tz inakubali ili vilabu vyake vijifunze soka, pamoja na favour hiyo bado mnajikanyaga kanyaga tu,. Vipi mheshimiwa jiangalieni yanga mnafanya nini siyo mnaanza kuiongelea simba ambayo haipo hko. Ndo shida tuliyonayo wabongo kelele nyingi mdomoni wakati kiutendaji ni nothing.
 
Tunawasubiri Ligi ianze manake, mlifanya zengwe tusicheze Kagame. pigeni kelele kwa sasa uwanja ni wenu.

Kagame tucheze kwa sifa ipi? Haya mashindani yanashirikisha mabingwa wa nchi na kwa mwenyeji anawakilishwa na timu 2 ambazo ni Bingwa pamoja na mshindi wa 2 wa kwenye ligi.
 
Back
Top Bottom