Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Canavaro,,Msuva,Tambwe!hawa watu ninachuki nao sana!!mpaka wafute makosa yao ndio tutakua pamoja
Baada ya mawindo kuwa magumu, mnyama mbumbumbu asiyejua kuwinda alazimika kushindia mapeasi huko Lushoto.
Simba koko hatari sana.
Canavaro,,Msuva,Tambwe!hawa watu ninachuki nao sana!!mpaka wafute makosa yao ndio tutakua pamoja
Tayari wameenda Zanzibar kwa "mtalaam" kujiwinda kwa ajili ya mechi na Yanga msimu wa ligi ukianza.
We Pdidy kisa mlifungwa nyie na gormahia basi mnajua kila club ingefungwa. Acha mawazo ya finyu kagame tu mnasuasua afu mnaongeeea mbona kwenye shirikisho midomo mliweka superglue?? Kule ndio kuna wakaza buti siyo kagame kiligi cha wanaojifunza soka hata nchi zinazojielewa hazitaki kuandaa ila Tz inakubali ili vilabu vyake vijifunze soka, pamoja na favour hiyo bado mnajikanyaga kanyaga tu,. Vipi mheshimiwa jiangalieni yanga mnafanya nini siyo mnaanza kuiongelea simba ambayo haipo hko. Ndo shida tuliyonayo wabongo kelele nyingi mdomoni wakati kiutendaji ni nothing.Gamaha mtushukurusana kwahilo musonye anashindwa kuwambia ukweli..kagame yasasa sioilee .wanaume wamejiandaa wenyenguvu ndio watakaopita...
Canavaro,,Msuva,Tambwe!hawa watu ninachuki nao sana!!mpaka wafute makosa yao ndio tutakua pamoja
Tunawasubiri Ligi ianze manake, mlifanya zengwe tusicheze Kagame. pigeni kelele kwa sasa uwanja ni wenu.