Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

Kamati ya ulinzi na usalama haipo huko? Kama ipo kazi yao ni nini? Mzee wa sukuma ndani alikuwa anasaidia sana na mikwara yake
 
Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi...

Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu..
Acha kelele bana Mi 5 Tena!

Hata miezi miwili bado mmeisha anza kelele

Ndugu zangu Wanyanyembe bana kwa kulialia.

MAENDELEO YANA CHAMA LAKINI SIO CCM!!!
 
hujaelewa kwamba alikuwa anawahi manisapaa kwa ajili ya kwennda kusimamia mitihani ya darasa la saba,kuwahi usafiri kwenda wilayani..HALAFU TANGU LINI WANAWAKE HAWANA RUHUSA KUTEMBEA USIKU?ITANGAZWE TU kama ni hivyo
Wengi hususan wale "wazei wa ndiyoo..." huwa hawana muda wa kushirikisha bongo kabla ya kujibu!!
Ikiwa anaona usiku wa manane watu wasitembee basi na mabasi ya abiria yawe yakifuata watu majumbani badala ya vituoni pake au tuwe tunatoka majumbani saa moja jua likishatoka!!
 
Kamamanda wa Tabora kwenye Nswalu na Nsansa anakwama wapi?
Lakini akisikia cdm wanafanya mkutano wao wa halali, utaona magari ya polisi yametanda na polisi waliovalia helmeti na silaha za moto. Huu ni udhibitisho kuwa polisi ndio wanaoratibu matukio ya uhalifu nchini.
 
Sana nane usku mtoto wa kike anafanya nin road ? Mi nilifkr ukibaka wa mchana mchana hapo tungemlaumu RPC , sa usku sa nane Jaman , mtoto wa kike unaranda Randa Tu na boda boda, mida ya wanga kabisa , ... Kama ni hivyo bas polisi wana kazi kuigeuza hii Dunia kuwa paradiso

Ww ndio utakuwa unaratibu hilo kundi la wezi ndio maana unatoa lugha za kifedhuli. Muhuni mkubwa ww.
 
hii ni kweli kabisa, majambazi/vibaka wanatembea kwa makundi ya zaidi ya watu 10 au 20, mtaani hapa Tabora kuna mama amevamiwa, vibaka walikua zaidi ya 20 na wameishia kumpiga mama na familia yake na wakachukua simu tu, Polisi waangalie mitaa kama Isevya, Kidatu, Ng'ambo, wananchi tunakosa amani
 
Lakini akisikia cdm wanafanya mkutano wao wa halali, utaona magari ya polisi yametanda na polisi waliovalia helmeti na silaha za moto. Huu ni udhibitisho kuwa polisi ndio wanaoratibu matukio ya uhalifu nchini.
Wenzenu wa chadema kwenye vikao wanawachoma.
 
Kiukweli hali ni mbaya Sana wanatumia mpaka pikipiki kufanya uhalifu na wanatumia vijana wadogo wadogo.
 
Saa nane usiku mtoto wa kike anafanya nin road? Mi nilifikiri ukibaka wa mchana mchana hapo tungemlaumu RPC, sa usiku saa nane Jamani? Mtoto wa kike unaranda randa tu na boda boda, mida ya wanga kabisa, kama ni hivyo bas polisi wana kazi kuigeuza hii Dunia kuwa paradiso
 
Utakuwa mshirika kwa njia moja ama nyingine.
Chunga Sana siku zenu zinahesabika
 
Back
Top Bottom