Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo.
Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua kusoma na kuandika atatuwakilisha vizuri au ataabisha nchi kwa ujumla. Ni aibu kubwa kuwa na Wabunge wenye kisomo kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne.
Katiba mpya itakapoandikwa basi itaje wazi sifa ya mtu kuwa Mbunge.