Chaumma na Chadema watakosa Wabunge π
Sio kwamba CCM inaweza ikapoteza hadi mwenyekiti wa chama??Chaumma na Chadema watakosa Wabunge π
Kibajaji & MsukumaSio kwamba CCM inaweza ikapoteza hadi mwenyekiti wa chama??
Chadema haijawahi kupeleka mbunge darasa la saba wewe chapombe.Chaumma na Chadema watakosa Wabunge π
Labda kama Chadema umejisajili Juzi πChadema haijawahi kupeleka mbunge darasa la saba wewe chapombe.
Elimu inakuwa mtetezi wa maisha ikiwa na ubunifu ndani yake na sio hii ya kutafutia shahada za mlimani, unaweza kuitwa msomi mbele ya watu kumbe ulichonacho kimetokana na wewe kuvuliwa chupi ndani ya chumba cha maprofesa wa chuo ulichopatia hiyo shahada.Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo.
Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua kusoma na kuandika atatuwakilisha vizuri au ataabisha nchi kwa ujumla. Ni aibu kubwa kuwa na Wabunge wenye kisomo kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne.
Katiba mpya itakapoandikwa basi itaje wazi sifa ya mtu kuwa Mbunge.
Wewe hizo pombe zako za offer zimeshakuwehusha wanakulewesha halafu hawakupi hela ya supu hapo unajisikia kufa kufa tu ndiyo maana unaanzisha mada za kikuda kikuda tuLabda kama Chadema umejisajili Juzi π
Akina Zitto walikuwa wanawapa Ubunge wa viti maalum wapishi wao la 7 πππWewe hizo pombe zako za offer zimeshakuwehusha wanakulewesha halafu hawakupi hela ya supu hapo unajisikia kufa kufa tu ndiyo maana unaanzisha mada za kikuda kikuda tu
Pombe hizo tafuta hela ukanywe supu utoe wenge kwanza.Akina Zitto walikuwa wanawapa Ubunge wa viti maalum wapishi wao la 7 πππ
Usiwage unatubishia wakongwe tulioanza na Chadema kule Kisutu Majamatini ππPombe hizo tafuta hela ukanywe supu utoe wenge kwanza.
Degree siyo issue watazinunua. Wawe na ufaulu wa Div 1-3 kwa form 4, Diploma, ufaulu wa div 1-3 form 6 na degree ya at least 2nd class lower. Hao ndiyo wawe viongoziTuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo.
Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua kusoma na kuandika atatuwakilisha vizuri au ataabisha nchi kwa ujumla. Ni aibu kubwa kuwa na Wabunge wenye kisomo kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne.
Katiba mpya itakapoandikwa basi itaje wazi sifa ya mtu kuwa Mbunge.
Huko mbona mbali hivi unajua mama Samia kaishia form four.Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo.