mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 636
- 665
RuksaWanajukwaa naomba ruhusa ya kumpa vidonge vyake huyuPascal Mayalla
Wanabodi.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources? Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa; je kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?
5. Kwani katiba ni nini? Si ni kipande tuu cha karatasi? Ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tu? Nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?
6. Na Katiba ni ya nani? Ni yetu? Na iko kwa manufaa ya nani? Si ipo kwa manufaa yetu? Hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?
9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, uchaguzi mwingine wa rais ni 2025, only if...
Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.
Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?
Paskali
Mkuu Matrix19 , karibu pande hizi, uangalie hayo niliyasema lini, sio kuwa tulinyamaza na hatukusema, kama ni kusema, tumesema sana!.Pasco issue ya double standard ndio unaijua leo??
Uchafuzi wa box la kura last October ulikua ni aibu sana ila hukujali pesa iliyopotezwa huku mshindi akijulikana kabla ya uchaguzi na pesa za walipa kodi kupotea bila sababu...
I think you should be ashamed of yourself ! Accept that you have lost your credibility and move
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa 2020, utakuwa sio uchaguzi bali igizo la uchaguzi, sasa badala ya kufanya igizo, si ni bora tumwache tu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?, na badala yake hizo fedha za uchaguzi zikaelekezwa kwenye maendeleo ?
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, uchaguzi mwingine wa rais ni 2025, only if...
Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.
Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?
Paskali
Siku hizi hakuna uchaguzi bali ni maigizo tu ya uchaguzi, inabidi watu wapewe elimu ili wasije kupata vilema au kuuwawa bila ya hatia katika chaguzi zetu.Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Hili lilikuja kutokea, nikijua JPM angeenda hadi 2025. Kwa vile ameondoka mapema, sasa 2025 pia hakuna uchaguzi wa rais, ni Samia tuu, uchaguzi mwingine wa rais ni 2030!
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali
We ni mtu wa system kitambo sanaWanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa 2020, utakuwa sio uchaguzi bali igizo la uchaguzi, sasa badala ya kufanya igizo, si ni bora tumwache tu aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?, na badala yake hizo fedha za uchaguzi zikaelekezwa kwenye maendeleo ?
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tu?
2. Je, hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources? Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa; je kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?
5. Kwani katiba ni nini? Si ni kipande tuu cha karatasi? Ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tu? Nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?
6. Na Katiba ni ya nani? Ni yetu? Na iko kwa manufaa ya nani? Si ipo kwa manufaa yetu? Hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?
7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?
8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanywa na hakuna kinachofanyika, Jee kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?
9. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM wa kumtoa rais ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?
10. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, uchaguzi mwingine wa rais ni 2025, only if...
Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.
Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?
Paskali
TehTujikumbushe kidogo iliyokuwa kasi ya Magufuli[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2155042
. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, uchaguzi mwingine wa rais ni 2025, only if...
Paskali
Uchaguzi wa 2020 mbona mimi niliisha uzungumza vizuri kabisa hapa, ama unataka nirudie kuongea?.Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi?
Story iliisha,sasa mnarumbana nini tena?Uchaguzi wa 2020 mbona mimi niliisha uzungumza vizuri kabisa hapa, ama unataka nirudie kuongea?.
P
Yaani wiki chache tu baada ya kuapishwa kwake, umeshaona anafaa kuwa kiongozi wa milele.Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa 2020, utakuwa sio uchaguzi bali utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, sasa badala ya kufanya igizo la uchaguzi , si ni bora tumwache tu Magufuli aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?, na badala yake hizo fedha za uchaguzi zikaelekezwa kwenye maendeleo ?
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tu?
2. Je, hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources? Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa; je kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?
5. Kwani katiba ni nini? Si ni kipande tuu cha karatasi? Ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tu?.
6. Nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?
7. Na Katiba ni ya nani? si ni yetu? na iko kwa manufaa ya nani? si ni ipo kwa manufaa yetu? hivyo sisi, we the people, ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?
8. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na tunamwangalia tuu, na kwa mujibu wa katiba, haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?
9. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanyagwa na watu tumenyamaza, maana yake ni tumekubali katiba yetu ikanyagwe na hakuna kinachofanyika, je kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?
10. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM kutoa rais wa JMT tangu nchi hii imepata uhuru, ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?
11. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni yangu, 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, na kwenye ubunge na udiwani , kwa udikiteta huu, sijui kama kuna mpinzani atatoka!, uchaguzi wa 2020 itakuwa ni uchaguzi wa CCM only and only CCM!. Uchaguzi mwingine wa rais na uchaguzi wa vyama vingi ni uchaguzi wa 2025 only if ...(Mungu hatafanya yake hapa katikati)
Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.
Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?
Paskali
Una maana gani mkuu?si kitabu kilishafungwa? au unanongwa na Pascal?Yaani wiki chache tu baada ya kuapishwa kwake, umeshaona anafaa kuwa kiongozi wa milele.
Kitabu kilifungwa na nani mkuu? Iweje JF hawajafuta huu uzi au kuzuia replies kama kitabu kimeshafungwa?Una maana gani mkuu?si kitabu kilishafungwa? au unanongwa na Pascal?
Si vibaya watu wakifanya postmortem ya bandiko hili kama ikihitajika.Una maana gani mkuu?si kitabu kilishafungwa? au unanongwa na Pascal?
Sina maana hiyo mkuu, kwa kuwa aliyekuwa anazungumziwa alishakufa, hivyo ukurasa wake kuhusu future yake ulishafungwa, ni hivyo tu mkuuKitabu kilifungwa na nani mkuu? Iweje JF hawajafuta huu uzi au kuzuia replies kama kitabu kimeshafungwa?
Na kweli jiwe amefia madarakani Kama ulivyo tabiriWanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa 2020, utakuwa sio uchaguzi bali utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, sasa badala ya kufanya igizo la uchaguzi , si ni bora tumwache tu Magufuli aendelee mpaka pale tutakaapoona tumetosheka?, na badala yake hizo fedha za uchaguzi zikaelekezwa kwenye maendeleo ?
1. Pamoja na ukanyagaji wake wa katiba ya nchi, lakini kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuinyoosha nchi hii iliyopinda kupindukia kwa rushwa, uzembe na ufisadi, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tu aendelee mpaka 2025? na kama bado anatosha, aendelee tu?
2. Je, hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, na kumwacha Magufuli kupita bila kupingwa, ili kuokoa muda, pesa na mali?, hivyo Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025 and beyond?.
3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike kwa mujibu wa katiba, hata kama uchaguzi huo ni wastage of time, money and resources? Kwani katiba ndio nini hata iheshimiwe hivyo?
4. Na hiyo 2025 tukimuona Magufuli bado anaweza, na anatufaa; je kuna ubaya kuibadili hiyo katiba yetu ili tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?
5. Kwani katiba ni nini? Si ni kipande tuu cha karatasi? Ingekuwa katiba ni muhimu kihivyo kama ambavyo watu wanataka kutuaminisha humu, ingekanyagwa kirahisi rahisi na kupuuzwa, huku watu wakiangalia tu?.
6. Nini muhimu zaidi kwa taifa letu Tanzania, kati ya katiba ambayo ni kipande tuu cha karatasi na maamuzi ya rais Magufuli ambaye ni rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu, katika uchaguzi huru na wa haki?
7. Na Katiba ni ya nani? si ni yetu? na iko kwa manufaa ya nani? si ni ipo kwa manufaa yetu? hivyo sisi, we the people, ndio muhimu kuliko katiba, hivyo kama sisi Watanzania, katika umoja wetu, tukiamua tunamtaka Magufuli aendelee tuu idefinately, si tunaweza kuiweka tuu pembeni hiyo katiba, na tukaendelea na Magufuli wetu mpaka tutosheke naye?
8. Sasa kama Magufuli anatufaa sana kuliko hata katiba na ndio maana anaweza hata kuikanyaga, na tunamwangalia tuu, na kwa mujibu wa katiba, haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu, na kumwacha aendelee tuu kama Kagame, Museveni na Mugabe?
9. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Kama katiba inakanyagwa na watu tumenyamaza, maana yake ni tumekubali katiba yetu ikanyagwe na hakuna kinachofanyika, je kuna ubaya kama tutaibadili katiba na Magufuli akapatiwa muda wa kutosha kabisa wa kuinyoosha nchi yetu kama Kagame anainyoosha Rwanda, Museveni anavyoinyoosha Uganda na Mugabe anavyoinyoosha Zimbabwe?
10. Na baada ya katiba kukanyagwa, kwa mikutano ya siasa kuzuiwa, jee kuna ubaya wowote kama wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, haswa kwa kuzingatia the playing field is not level, na badala yake CCM tuu ndio iwe pekee inatoa mgombea urais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mrefu wa CCM kutoa rais wa JMT tangu nchi hii imepata uhuru, ambaye siku zote huchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huru na wa haki?
11. Na kufuatia somo la demokrasia ya Kiafrika, na mfano hai wa matokeo ya urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea urais wa kushindana na mgombea wa chama dola, CCM, kwa Tume hii hii, na mazingira haya haya ukategemea kuna ushindani?, yaani by now tumeishajua mgombea wa CCM kwa 2020 ni Magufuli, bado kuna chama kiko tayari kumteua mgombea wake kushindana na Magufuli ambaye ni a sitting president, huku kutakuwa ni kugombea urais au kugombea ili kujifurahisha tuu?, ni kama kugombea kisu cha makali kuwili huku mmoja ameshika mpini, wengine kwenye makali kuwili, unategemea nini?, au hata ikitokea Mungu akafanya muujiza, huyo mgombea wa upinzani akashinda kwa muujiza wa Mungu, jee atatangazwa?.
Kwa maoni yangu, 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, na kwenye ubunge na udiwani , kwa udikiteta huu, sijui kama kuna mpinzani atatoka!, uchaguzi wa 2020 itakuwa ni uchaguzi wa CCM only and only CCM!. Uchaguzi mwingine wa rais na uchaguzi wa vyama vingi ni uchaguzi wa 2025 only if ...(Mungu hatafanya yake hapa katikati)
Hayo ni maswali tu nimeanza kujiuliza aloud.
Je, wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?
Paskali
Duh...!. Mkuu kimsboy, mimi ni verified member hapa JF, kama ni mtu wa huko, inamaana bandiko kama hili nimelileta humu kufanya nini?.We ni mtu wa system kitambo sana
Mkuu Paschal mbona unafahamika wewe ni mtu wa eagle muda sanaDuh...!. Mkuu kimsboy, mimi ni verified member hapa JF, kama ni mtu wa huko, inamaana bandiko kama hili nimelileta humu kufanya nini?.
Issues kama hizi si zingekuwa ni issues za kumaliza ofisini, zimekujaje jf?, au kwa vile wale jamaa zetu wanapenyezwa kila mahali, hivyo mimi ndio ofisa wao ninayefanyia JF, hivyo mabandiko kama haya ni ya kuzuga tuu?. Na lile swali la siku ile pale mahali pia niĺikuwa kazini nikamzuga boss wangu?. Hivyo hata kile kiofisi changu cha PPR nacho pia ni cha kuzugia?.
Basi hii system ya enzi hii kiboko!.
P
Duh...!.Mkuu Paschal mbona unafahamika wewe ni mtu wa eagle muda sana
Kwanza wazaz wako wote wamekulia huko
Wewe umezaliwa huko
Duh...!.Kilicho kupeleka jeshin ni nn??
Mara ufanye kaz tibisii
Mara PPR
Mara mwanasheria
Usitudanganye mzee mwenzetu
Mara mwandishi wa kujitegemea
Tunajua huruhusiw kujitangaza