Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Heshima sana wanajamvi.
Kipindi cha nyuma enzi za TANU na CCM ya wakati uleeeeeee iliwepo nafasi ya wagombea ndani ya chama wanapofanyiwa mizengwe walikuwa nafasi ya kukataa rufaa kwa wananchi.
TANU ya wakati ule kipindi cha nyuma waliwahi kuondosha jina la Sarawat kwa mizengwe.Sarawat akagombea kama mgombea binafsi akashinda.
Hali kama hiyo iliwahi kumtokea Dr W Slaa,bila hiyana akakimbilia CHADEMA akashinda ubunge Karatu.
Dr Slaa & Sarawat waliweza kushinda nyakati hizo kwasababu wizi wa kura hakuwa na nafasi kama ilivyo sasa.
Nawashauri Gambo,Gwajima na wengine wote ambao wamefanyiwa figisu watafute shughuli nyingine za kufanya.Hakuna nafasi ya kuwarejelea wananchi kwakuwa Serekali ndiye mratibu mkuu wa uchafuvuzi wa uchaguzi.
Wananchi hawana nguvu ya kuchagua,serekali ndio inayochagua wabunge na madiwani.
Ngongo kwasasa Idodomya.