Kwa kauli hii huyu Vixen aliyefanya video ya 'Nitafanyaje" ya Diamond ajitafakari sana. Hizi standards anamletea nani?

Kwa kauli hii huyu Vixen aliyefanya video ya 'Nitafanyaje" ya Diamond ajitafakari sana. Hizi standards anamletea nani?

Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi hataki kufanya video na wasanii wa chini amejikita kufanya kazi na kina davido na wapopo.
Ni vizuri kujibrand na kuweka malengo ya juu
 
Kama ndg au binti yako ameingia huko sjui uvixen basi tambua ataliw sana

Ova
 
Back
Top Bottom