Kwa kauli hii huyu Vixen aliyefanya video ya 'Nitafanyaje" ya Diamond ajitafakari sana. Hizi standards anamletea nani?

Uzee ukifika atarudi tu kwenye tamthiliya.
 
Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi hataki kufanya video na wasanii wa chini amejikita kufanya kazi na kina davido na wapopo.
Ni vizuri kujibrand na kuweka malengo ya juu
 
Ni mbinu tu ya kujiongezea thamani ili hata hao wakina ibrah wakimfuata waende na dau kubwa
 
Kama ndg au binti yako ameingia huko sjui uvixen basi tambua ataliw sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…