Kwa kauli hii Kagame ni mhaini wa EAC, hafai hata kwa kurumangia

Kwa kauli hii Kagame ni mhaini wa EAC, hafai hata kwa kurumangia

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame"

-President Felix Tshisekedi wa DRC

Kipi kifuatacho?

MAREKANI NAYO YATOA KAULI KWA RWANDA.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken amemwambia Rais wa Rwanda Paul Kagame kuacha kutoa msaada kwa kundi la waasi la M23 linalopigana na serikali ya Kinshasa, mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani inasema kwamba, Blinken amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Rwanda Paul Kagame na kuzungumzia umuhimu wa kuwepo amani na utulivu mashariki mwa DRC.

Blinken amesema kwamba Marekani inaunga mkono juhudi za amani zinazofanywa na Jumuiya ya Afrika Mashariki na mpatanishi wa umoja wa Afrika, ambaye ni rais wa Angola Joao Lourenco.

Rwanda imekuwa ikikana kila mara shutuma kwamba inaunga mkono waasi wa M23, lakini taarifa iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price, inasema kwamba Blinken amesisitiza kwamba “msaada wowote kwa makundi ya waasi yanayopigana Congo lazima ukome mara moja.

Rais Paul Kagame amekuwa akisema kwamba Rwanda haihusiki na vita vinavyoendelea nchini Congo, na kwamba kinachofanyika nchini humo ni waasi wanaotaka makubaliano waliofikiwa na serikali ya Kinshasa kutekelezwa.
 
Wacongo kwa kuongea sana,kusuka wakina dada kwny masaluni,kujichubua na kukata mauno kwny bolingo hakuna anaewafikia Africa nzima lkn njoo kwy vitendo Sasa/kupigana Vita 😄😄😄 Ni vichekesho wanapigwa hata na Jeshi la sungusungu la mtaani.
 
Anataka wacongo wampe kura za huruma kupitia huu mzozo au ikibidi uchaguzi usogezwe mbele kidogo.
wacongo since day wanamchagua fatshi wana iman nae kubwa,hasa huko mashariki, kusogeza mbele inaegemea na usemalo
 
wacongo since day wanamchagua fatshi wana iman nae kubwa,hasa huko mashariki, kusogeza mbele inaegemea na usemalo
Felix alishapishana na Kabila, isitoshe Fayulu anaweza kurudi ulingoni hivyo anajua upinzani na ushindani unaomsubiri sio mdogo.

Ila akiendeleza mvutano na Kagame huenda uchaguzi ukaahirishwa sababu ya usalama huko mashariki au akazidi kuitumbukiza nchi kwenye malumbano ya kisiasa kwa wengine kudai anakiuka katiba.

Yupo njia panda..

JokaKuu zitto junior
 
hahahaha,felix yuko vzr mkuu
 
🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame"

-President Felix Tshisekedi wa DRC

Kipi kifuatacho?
Hii confidence ya Felix na malalamiko ya juzi ya Kagame, plus ujasiri wa Kenya kupeleka Askari DRC. Kuna game la kibepari linachezwa hapo DRC and probably Kagame's God fathers are fed with him, they want him out!
 
War atapigana na Nani Sasa? Eastern Congo yenyewe tu ameshindwa kuitawala,Kule yanatawala makundi ya waasi zaidi ya 120.

Hii Vita ataiwezea wapi?Labda Vita ya kukata mauno ya bolingo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Leschroniquers_20221204__1599510524571439105_1_15995104384038666290.mp4
    2.6 MB
🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame"

-President Felix Tshisekedi wa DRC

Kipi kifuatacho?
Jeshi la kupigana na Rwanda!🤣🤣🤣🤣
Maneno ya kuchokonoa Rwanda ili ingie vitani uchaguzi usogezwe!.😂😂
 
Attachments

  • Leschroniquers_20221204__1599510524571439105_1_15995104384038666290.mp4
    2.6 MB
  • francinehavgma1_20221205__1599701539991433216_1_15997014719263580200.mp4
    4.3 MB
Bangala alivyofunga alitumia ishara hii kuomba amani, nchini kwao, akiwataka Rwanda waache kuwaua na kuchukua madini yao Pray for Congo
1670445293650.jpg
 
Kagame ni dikteta nashangaa kwanini watu humtolea mfano wa kiongozi bora.

Kama sio unafiki ni nini.

Bahati mbaya sana, wakubwa zake wameshamchoka wameandaa namna nyingine ya kuendelea kunufaika pale.

Ndio maana taarifa iliyosomwa na US Intelligence wiki hii kwenye bunge la Marekani (Congress) ukurasa namba 36 inawahusianisha M23 na serikali ya Kagame.

Kiashiria hiki ni kibaya kwa maslahi ya BAHIMA empire.

Hata kwa upande wa ADF wameongeza uvamizi wenye lengo la kupora vitu vya kutumia hususan vyakula. Ijapokuwa uvamizi huo unaripotiwa kusababisha vifo vya zaidi ya wakazi 40 wa maeneo ya mpakani mwa Kongo DR na Uganda.
View attachment 2544723
 
Back
Top Bottom