Inadaiwa ni mshirikina wa kutishaMsikilize, anaonekana ana hasira kubwa eti wanamtukana while wanamwambia ukweli.
Kwa hasira hizi lazima awateke na kuwaua
Faki the mazafaka!Msikilize, anaonekana ana hasira kubwa eti wanamtukana while wanamwambia ukweli.
Kwa hasira hizi lazima awateke na kuwaua
Onhoo😟Ndiye aliyepanga kumteka Melo Ofisi za jf, ila akamkosa
Naweza kuthibitishaOnhoo😟
Kila ubaya utalipwaChangamoto
Kashajivika uyesu KRISTO
Weee mtoto WA mby jiji upo?Onhoo😟
Inaumiza sana mkuu🥹Naweza kuthibitisha
Mkeka ule wa viti maalumu zaidi ya watu 90 ni Daughters and Sons wao.Gerson Msigwa hajui kwamba hao vijana wanaotoka familia duni na maskini ndiyo wanao athirika zaidi na uongozi mbovu, rushwa na upendeleo (nepotism).
Mtoto toka familia inayojiweza Kifedha au ya kiongozi wa kisiasa ana machaguo (options)nyingi, Hivyo hawezi kuwa na uchungu au hasira kubwa na kukata tamaa.
Msikilize, anaonekana ana hasira kubwa eti wanamtukana while wanamwambia ukweli.
Kwa hasira hizi lazima awateke na kuwaua
View attachment 3585877
Kwahiyo kutukana ndo kuambiwa ukweli?!!! Nyumbu bwanaMsikilize, anaonekana ana hasira kubwa eti wanamtukana while wanamwambia ukweli.
Kwa hasira hizi lazima awateke na kuwaua
View attachment 3585877
Kaongea ukweli mchungu sana