Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia madarakani
Wanasiasa kama hawa wanaojifanya ni watetezi wa walalahoi wakiingia madarakani hawafuati sheria wala katiba kwa kisingizio cha kutetea wanyonge, huku wao wakiiba na kuwezesha makundi yao kuiba.
Watafanya maamuzi ya sifa kukomoa watu ili kufurahisha hao walalahoi
Hii inanikumbusha kampeni za JPM