Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
to an extent I agree with you. this type of populism is detrimental to society.Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia madarakani
Wanasiasa kama hawa wanaojifanya ni watetezi wa walalahoi wakiingia madarakani hawafuati sheria wala katiba kwa kisingizio cha kutetea wanyonge, huku wao wakiiba na kuwezesha makundi yao kuiba.
Watafanya maamuzi ya sifa kukomoa watu ili kufurahisha hao walalahoi
View attachment 2187389
Hii inanikumbusha kampeni za JPM
alilipiwa fine hiyo ya 100k ksh.Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia madarakani
Wanasiasa kama hawa wanaojifanya ni watetezi wa walalahoi wakiingia madarakani hawafuati sheria wala katiba kwa kisingizio cha kutetea wanyonge, huku wao wakiiba na kuwezesha makundi yao kuiba.
Watafanya maamuzi ya sifa kukomoa watu ili kufurahisha hao walalahoi
View attachment 2187389
Hii inanikumbusha kampeni za JPM
Siasa za Kenya mbona ndio zipo predictable kuliko hata za Tanzania?Hapo Raila anampiga vijembe mpinzani wake, wala haihusiani na hilo tukio, siasa za Kenya raundi hii hazinifurahishi, kila nikikaa tayari kuwaskliza ili nifanye maamuzi huru ya nani wa kumpigia, nakutana na vijembe tu wanavyotupiana, hakuna anayetiririka sera.
Wapambe na washauri wao wawape ushauri upasao, kwamba wachomekee sera pia kwenye kauli zao sio vijembe kutwa nzima.
Kenya sio kama Tanzania kule ambapo mgombea wa CCM ana uhakika wa kuukwa urais, hata akipiga pushups nchi yote bila kuongea sera, atakua rais yaani automatic.
Siasa za Kenya mbona ndio zipo predictable kuliko hata za Tanzania?
Watu wale wale sema wanabadilisha majina ya vyama tu
Duh....!fisadi ni wewe na mamako nyumban mwenu msiojielewa wafuas wa walamba asali kupitia tozo wapuuz nyinyi kipindi cha uchaguz kaz kuzunguka na kauli zenu za mama mkanye mwanao saiv mnapigika kwa tozo mnaanza kuwakumbuka kina mbowe pigwen tozo mpaka akili ziwarudi nguruwe nyinyi.