Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Nimekuelewa sana bwashee!Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangisha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Comment imekaa Kibrigedia........Hizi ni dalili za mtu anaye karibia kukata roho, watu wanaokaribia kufariki hupayuka hovyo hovyo. Hivi ni kwa kitu gani Magufuli amefanya mpaka YEYE ajione amejitoa MAISHA MUHANGA!! Historia itamkumbuka Rais Magufuli kama DICTATOR na Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania.
Subiri usifiwe na wewe mjinga.....unajua upuuzi na mabaya unayofanya ndio maana unaanza kujipigia pigia debe kuwa utakumbukwa.....machozi,hofu,vifo na umaskini uliouleta ndio utakumbukwa navyo zaidi
Jombaa kazi bila Demokrasia ni sawa na kuwa na demu alafu humliUyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Cha ajabu ni kipi hapo?Mbona hata JK na BM walijenga barabara?!Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Alafu hili neno Bwashee lina heshima yake, sio unalitumia hovyo hovyo na kwa watu wasio stahiliNimekuelewa sana bwashee!
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:
' ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.
Kasome comments wa watu twitter ndio utapata picha ni jinsi gani atakumbukwa.Hakuna watu wanafiqi Kama raia wa Tanzania wakati wa Utawala wa JK walikuwa wakilalamika kuwa anawakumbatia mafisadi ameingia mchapakazi na kiboko ya mafisadi JPM bado wanalalamika.
Na hakuna Raisi ambaye hana kasoro na asiefanya mabaya.
Mfano wakati wa JK alibariki mauaji ya Wananchi wasio na hatia Mtwara
Mkapa kifo cha Nyerere hayo ni kwa uchache
JPM piga kazi achana na kelele za wanafiqi wa Tanzania.
Ukiacha mabaya na kufanya mema ndio kuna hiyo ahadi kwenye imani zetu. Ila sio kweli ulichosema kwamba mabaya na mazuri huwekwa mizanini kuangalia "uzito" upande upi ni mkubwa zaidiKanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.
Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:
'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.
View attachment 1389711
Baada ya miaka yake juni ya utawala atakua ana karibu a Donal Trump kwa ukwasi.Hajatoa maisha yake kwa mtu yeyote yule mbwembwe tu muendelee kumuona wa maana, dili zinapigwa balaa na kampuni zilizoandikishwa kwa majina ya ndugu. Hadi anamaliza atakua billionaire in dollars sio tzs maana tayari tzs ashavuka hiyo status zamani sana
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Wachache sana tumekuelewa wengi hawawezi kukuelewabarabara hata mkoloni alijenga lakini kina mwalimu JKN bado walipambana kudai uhuru.
mabarabara siyo mbadala wa uhuru, haki na utu!