Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.
Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
Dawa yake ipo jikoni inatokota... Aulizie ya akina Mobutu, Mugabe, Sadam Hussein na Ghadafi...
Unatengeneza idadi kubwa ya masikini alafu unadai umejitoa muhanga kuwasaidia kwa maendeleo ya vitu...??? Really!!
Uzuri wa masikini hawanaga urafiki wa kudumu... Chaneli zikisoma tu hawachelewi kukiwasha...!!