Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.
Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
Hiyo ya kuacha mabaya na kutenda mema ni imani za dini. Karma ni the law of cause an effects, mema na mabaya yako yanapimwa kwenye mzani, mema yakizidi ni unaingia peponi, hivyo siku ya mwisho unaweza kushangaa, kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi, halafu ukakuta Obama, Bush na Blair wakaenda motoni!, na hata wewe unaweza usiamini ukaenda peponi halafu mchungaji, padri na askofu wako wakatupwa motoni.Ukiacha mabaya na kufanya mema ndio kuna hiyo ahadi kwenye imani zetu. Ila sio kweli ulichosema kwamba mabaya na mazuri huwekwa mizanini kuangalia "uzito" upande upi ni mkubwa zaidi
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.
Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
KARMA sio story tuu, karma is real!.
Salary Slip,
Hizi ni dalili za mtu anaye karibia kukata roho, watu wanaokaribia kufariki hupayuka hovyo hovyo. Hivi ni kwa kitu gani Magufuli amefanya mpaka YEYE ajione amejitoa MAISHA MUHANGA!! Historia itamkumbuka Rais Magufuli kama DICTATOR na Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania.
Subiri usifiwe na wewe mjinga.....unajua upuuzi na mabaya unayofanya ndio maana unaanza kujipigia pigia debe kuwa utakumbukwa.....machozi,hofu,vifo na umaskini uliouleta ndio utakumbukwa navyo zaidi
TL is the card the pull he commands makes the pull during contribution a joke. Nimeota
Hakuna watu wanafiqi Kama raia wa Tanzania wakati wa Utawala wa JK walikuwa wakilalamika kuwa anawakumbatia mafisadi ameingia mchapakazi na kiboko ya mafisadi JPM bado wanalalamika.
Na hakuna Raisi ambaye hana kasoro na asiefanya mabaya.
Mfano wakati wa JK alibariki mauaji ya Wananchi wasio na hatia Mtwara
Mkapa kifo cha Nyerere hayo ni kwa uchache
JPM piga kazi achana na kelele za wanafiqi wa Tanzania.
Mkuu, watu watakuja kumwelewa akitoka madarakani.Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Nimekuelewa kiongozi!Salary Slip,
barabara hata mkoloni alijenga lakini kina mwalimu JKN bado walipambana kudai uhuru.
mabarabara siyo mbadala wa uhuru, haki na utu!
Bila toba ya kweli!, hakuna sehemu unayoingia zaidi ya motoni mkuu!.Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.
Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
Anajua kila kitu , na anajua wananchi wanajuaHii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:
'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.
View attachment 1389711
Dictatore mama yako aliyekuleta dunianiSalary Slip,
Hizi ni dalili za mtu anaye karibia kukata roho, watu wanaokaribia kufariki hupayuka hovyo hovyo. Hivi ni kwa kitu gani Magufuli amefanya mpaka YEYE ajione amejitoa MAISHA MUHANGA!! Historia itamkumbuka Rais Magufuli kama DICTATOR na Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania.
Subiri usifiwe na wewe mjinga.....unajua upuuzi na mabaya unayofanya ndio maana unaanza kujipigia pigia debe kuwa utakumbukwa.....machozi,hofu,vifo na umaskini uliouleta ndio utakumbukwa navyo zaidi
Sarary slip tunajua ulivyobanwa ktk mambo yko ya hovyo uliyokuwa unayafanya na bado! Mpaka ukaushwe kabisa na hao jamaa zako.Dictatore mama yako aliyekuleta duniani
Wewe umenyimwa uhuru gani?Salary Slip,
barabara hata mkoloni alijenga lakini kina mwalimu JKN bado walipambana kudai uhuru.
mabarabara siyo mbadala wa uhuru, haki na utu!
kawaulize kina mwl Nyerere!Wewe umenyimwa uhuru gani?
Yani mtu hapo akija akakwambia umuelezee ni uhuru upi hauna utamjibuje?
Sent using Jamii Forums mobile app