Kwa kauli hii, Rais Magufuli anakiri kuna mabaya yanafanyika chini ya utawala wake?

Watu wanataka maisha mazuri kipato kizuri ww miaka mitano umekazana na vitu vya hovyo sijui barabara ndege na uchafu mwingjne ambavyo havinafaida yoyote huku maisha ya watu (ukiacha wa chato) yakiendelea kuzurumika.......
 
Rais hana mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzi wa halmashauri, Ras, Das wala wabunge na madiwani wa kumsaidia kuondoa kero za wananchi. Babalao alibugi kwenye uteuzi. Hawa viongozi wa kwenye halmashauri mbalimbali ni mizigo ya vifusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kila siku hua nawaambia watu 98% ya Watanzania ni MISUKULE Yaan mtu unakaa kabisa unajisifu eti nimejenga barabara, vituo vya afya, sijui maji n.k na watu wanakupigia makofi.. What kind of idiots are we..?? Kwahyo kaz ya serikali ni nini..??

Hii nchi kitu pekee kitakachokuja kutukomboa ni ELIMU, nchi za watu walioelimika huwez kuta kuna kiongozi KIAZI kiasi hiki na raia wanakuchekea tu.

Na hili bomu linalotengenezwa la vijana waliosoma na hawana AJIRA likijakulipuka nadhani hapo ndio kuheshimiana kutakuwepo, maana kuna watu wanaona kama hii nchi ni MALI YAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe mfano wa kazi ambayo wamefanya mkuu kama sio hao unaposema wanamuangusha..lakini pia dola mfano polisi awajamuangusha
 
Alafu uliowataja wote ni wanaccm aisee
 

Non-sense...!
Huwezi kufanya maovu kwa kuumiza watu ukitegemea watu wakusifu kwa mazuri....!
Principle ya maisha ya BINADAMU HUKUMBUKWA KWA MABAYA WALIYOTENDA NA SI KWA MASURI na ndo maana hata siku ya Kiyama mtu atahukumiwa kwa MABAYA ALIYOTENDA HATA LIKIWA NI MOJA..!
Magufuli asijaribu kuficha UOVU wake kwa visingizio vya ATI MIUNDO MBINU.....!!
UHAI wa binadamu 1 una thamani mara MILIONS kuliko FLYOVERS,BARABARA au STIEGLERS Gorge...!!!
 
Hakumbukwi I Nyerere sembuse huyu
 
Watu wana hasira balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip,
barabara hata mkoloni alijenga lakini kina mwalimu JKN bado walipambana kudai uhuru.

mabarabara siyo mbadala wa uhuru, haki na utu!
Ivi mkuu unataka kusema wewe haupo huru? Tuachane na mambo ya chadema na mbowe!!! apo kinachoongelewa ni utendaji kazi wake na namna gani atakumbukwa meko siku akiwa hayupo madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa kazi bila Demokrasia ni sawa na kuwa na semu alafu humli

Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia tuwaachie vyama vya siasa mkuu... Mimi najua raia tupo huru na kila mtu asimamie majukumu yake na mipaka yake... Ujue haya mambo ya siasa yanaficha ukweli wa mtu akifanya vizuri... Najua leo tutapiga kelele magu hafai ila niamni ktk kundi linalotakiwa kufurai ni vjana maana haya anayofanya huyu Baba kwa sisi vjana yanatija sana kwa maana ya ajira... Ulishajiuliza kwann hakuna ajira?? Nakujibu watawala waliopita hawakutengeza fursa za ajira... Niamini miaka mi 4 ijayo utasahau mambo ya ajira maana miradi itakuwa imekamilika na itahitaji watendaji... Tuvumulie vjana wenzangu i know life ni tuff but tupambane kujenga taifa kama Raisi anavyokomaa... Ipo siku titasahau kama kuna njaa.... And muwe makini na corona pia wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.
Ajue wazi kabisa mabaya ndiyo hukumbukwa zaidi ya mazuri; na hasa kukiwa hakuna sababu kabisa ya kutenda hayo mabaya.
 

Umeongea Nini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Listen mkuu apo unachanganya mambo... Ivyo vitu vyote unataja ndo maendeleo ili wewe binafsi uwe na pesa fanya kazi mkuu... Najua tupo vijana wengi tuliojiajiri na maisha yanakwenda... Hakuna maisha marahisi kama hufanyi kazi na huna mahesabu ya siku mipango na matumizi... Mambo mengine sio yakumlaumu raisi laumu akili yako vijana wako shambani wanapiga pesa jombaa na leo hii tembelea kila mkoa utakuta miradi mikubwa ya serikali ikiendelea izo ndo maendeleo na kwenye iyo miradi kumbuka kuna vjana wanaajira hapo... Tusiwe wa vivu na mi nakwambia magu anachapa kazi nenda uko kisaki ndo utajua kuwa anachapa kazi... Na kuna raia anasema ni kodi zetu ndio ni kodi zetu ila tuna msimamizi mzuri wa pesa zetu maana tunaona zinapokwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiongeza hiyo mistari kwenye mapambio hukosi kauteuzi kabla ya mei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…