Kwa kauli hii serikali yahalalisha ushoga rasmi

Kwa kauli hii serikali yahalalisha ushoga rasmi

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kampeni ya kuwasaka watu wanaojihusisha na vitendo vya ushoga inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ni mawazo yake binafsi na sio msimamo wa Serikali.

“Wizara ya Mambo ya Nje kwa niaba ya Serikali inapenda kuwajulisha wananchi na jumuiya ya kimataifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi kuhusu masuala ya ushoga yaliyoongelewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,” imeeleza taarifa hiyo ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyotolewa jana Jumapili Novemba 4, 2018.

Katika taarifa hiyo, Serikali imekumbusha na kusisitiza kuwa itaendelea kuheshimu mikataba yote ya kimataifa inayohusu haki za binadamu ambayo imesaini na kuridhia.

“Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea na itaendelea kuheshimu na kulinda haki hizo kama zilivyo katika Katiba,” imesema taarifa hiyo.

DrKuj5wX4AA9cC3.jpg

Mwanzoni mwa wiki hii RC Makonda alinda Kamati ya watu wasiopungua 15 yenye lengo la kuwakamata watu wanaojihusisha na ushoga, wanaocheza filamu za X na makundi ya WhatsApp yanayojihusisha na biashara haramu ya uchangudoa.
Credit BONGO5
 
Ushoga, Usagaji , Ubasha n.k. ni ulemavu kama ulemavu mwingine !!!
Hebu Fikiri mwanaume kumtamani mwanaume mwenzie !! Si ulemavu huo ?!
Mwanamke kumtamani mwanamke mwenzie si ulemavu huo ?!.

Na ulemavu ukikuingilia ktk family yako, usikimbilie kuilaumu serikali !!! Anza na nyumbani kwako, onya wanao ,wajulishe ubaya wa jambo lenyewe. Kisha ktk jumuia zetu za kiimani na ndio baadaye serikali nayo ichukue jukumu lake kama dola. Sheria zipo zinazokataza ushoga na usagaji !!

Magereza yetu nayo si mahali salama kwa kupereka watu hao. Huko ndiko inakosadikiwa mambo hayo yametamalaki. Hii ni kwa sababu ya mfumo wa selo (mabweni) ya magerezani yalivyo.
Kwa sababu ukiwakamata watu hawa, ni lazima uwapereke magerezani na huko si salama zaidi.
 
Yaani hapa serikali ndo imechemka vibaya mnoooo... sio kila kitu kinachofanywa na mataifa ya nje inabid tukichukue... hata km n kukosa misaada mi naona bora tukose aseee
 
Dini ndio chanzo cha matatizo mbalimbali katika Africa hii.
 
Yaani hapa serikali ndo imechemka vibaya mnoooo... sio kila kitu kinachofanywa na mataifa ya nje inabid tukichukue... hata km n kukosa misaada mi naona bora tukose aseee
We won't last even one week.
 
Yaani hapa serikali ndo imechemka vibaya mnoooo... sio kila kitu kinachofanywa na mataifa ya nje inabid tukichukue... hata km n kukosa misaada mi naona bora tukose aseee
Umenena vyema
 
Yaani hapa serikali ndo imechemka vibaya mnoooo... sio kila kitu kinachofanywa na mataifa ya nje inabid tukichukue... hata km n kukosa misaada mi naona bora tukose aseee

sisapoti ushoga ila kumbuka 1/3 ya bajeti ni kutoka kwa donors wa nje

denmark wame fund mradi wa REA,

UK-AID mradi wa maji vijijini

bora tukose ee
 
Kwa shithole country kudeal na ushoga ni sawa na uhusiano wako na mama mkwe humpendi lakini utamuona kila siku na huna la kumfanya.
 
Yaani hapa serikali ndo imechemka vibaya mnoooo... sio kila kitu kinachofanywa na mataifa ya nje inabid tukichukue... hata km n kukosa misaada mi naona bora tukose aseee

Ni wapumbavu tu ndio hawajalielewa tamko la wizara ya mambo ya nje kuhusu homosexuals.
Jinsi watu wanavyojadili suala hili utagundua tuna tatizo kubwa la elimu vichwani mwa baadhi ya wananchi wetu wakiwemo wenye shahada za chuo kikuu. IQ ndogo ndogo ndogo ndogo ndogo ndogo ndogo ndogo mnoooooo. No reasoning no logic no nothing!! Nothiiiiiiiiing!!
 
Makonda simama hapohapo kwa kuelezea madhara ya ushoga, pita misikitini na makanisani kuomba support, kusanya wazee wa dar na ngo zinazopinga mambo hayo.

Hata yesu hakutoa amri ya kahaba kuuliwa lakini hakutengua sheria ya musa.
 
Alikuwa na akili sana..maana yake hapo..yeye hayumo kwa mtayoamua!
 
Wabongo sijui tumekuwaje,serikali kutoa tamko la kujiondoa kwenye hiyo vita anayopigana makonda kwenye mkoa wake,haimaanishi kwamba wamehararisha ushoga,bali wale wazee walio na vyeo ngazi za juu kabisa serikalini wameona aibu kutokana na jinsi makonda anavyokurupuka ktk vita zake,kuanzia kwenye madawa ya kulevya,ishu ya clouds,makontena na hii ya sasa hivi,serikali yoyote timamu,yenye uongozi uliotukuka haiwezi kumuunga mkono makonda kwa mambo anayofanya,kweli,ushoga umekithiri na unakera sana,lakini kitendo cha mkuu wa mkoa kutangaza watu wataje majina hadharani,ni ukiukwaji wa haki za binadamu,ikumbukwe miaka kadhaa nyuma serikali ya Tanzania ilisaini mikataba ya makubaliano ya sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu,kitendo cha kuwataka watu wanaosemekana kuwa mashoga watajwe hadharani kunatafsiriwa kama kuwadharaulisha na kuwadhalilisha watu wengine,kivipi..anaweza kutajwa mtu kuwa ni shoga na huku si kweli,huenda mtajaji alilenga kumdhalilisha,labda kutokana na wivu,ugomvi au chuki!
Ukweli usemwe,mh mkuu wa mkoa alichemka!!..kuna njia nyingi tu angeweza kuzitumia ili kipambana na ushoga..!!lakini si watu kutajwa hadharani,ni udhalilishaji!..hakuna serikali timamu inayoongozwa namna ambavyo serikali yetu inaongoza,ni aibu!
 
Back
Top Bottom