johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wateuaji ni kamati kuu!
Wateuaji ni kamati kuu!
Wateuaji ni kamati kuu!
[/QUOTE
Mkuu .tumia akili, mwenyekiti wa kamati kuu ni nani?
Mtajua wenyeweDr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.
Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.
Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la ukonga baada ya kushindwa kutimiza ahadi na kwenda Tarime vijijini. Dr Bashiru amesema watu wa aina hii wanajidanganya kwa kudhani ukishinda kura za maoni basi unateuliwa, mwaka huu mambo ni tofauti kabisa amesisitiza.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo Chadema mnateuaje?!Sasa kura ni za nini kama hilo genge linalojiita kamati kuu ndio linateua? Lengo la hiyo kamati kuu kuteua ni ili kujaza waimba mapambio ya kumtukuza mungu wa Tanzania.
Hapo Chadema mnateuaje?!
Taifa la wajinga linaburuzwa na mtu mmojaWateuaji ni kamati kuu!
Ok, kumbe wewe ni mfuasi tu!Waulize wanachama wa cdm.
MAGUFURI NA BASHITE
Kumbe kamati kuu katka vyama ni magenge?Sasa kura ni za nini kama hilo genge linalojiita kamati kuu ndio linateua? Lengo la hiyo kamati kuu kuteua ni ili kujaza waimba mapambio ya kumtukuza mungu wa Tanzania.
Waitara anadhani CCM ni kama Chadema!
Hahahaaaaaa......... Spika hatatoka miongoni mwa wabunge!Wabunge wanajulikana na spika anajuliksna Ndugai labda abadili jinsia. ..