Ngoja arudi kwenye gongo ili konyagi awe anazisikia tu kwenye bomba hahaCha-pombe amekalia kidole cha Kati mwaka huu ndiyo maana kule tarime washamwambi atafute kazi ya kufanya ikiwemo Ile ya kuuza mayai Kwenye baiskeli
Kamati kuu ni magufuli.Wateuaji ni kamati kuu!
Mtakutana kwenye mbege bwashee!Ngoja arudi kwenye gongo ili konyagi awe anazisikia tu kwenye bomba haha
Duh.........wewe utakuwa team Lindi Kuchele!Kamati kuu ni magufuli.
1.Makamu mwenyekiti bara Philipp mangula kateuliwa na JPM
2.Bushiru-kachaguliwa na JPM
3.Polepole-kachaguliwa na JPm
4.hawassi-kachaguliwa na JPM
5.Mpogolo-kachaguliwa na JPM
6.captain ngemela-kachaguliwa na JPM
7.Pereira silima-kachaguliwa na JPm
hao wote walikuwa sio lolote wala chochote ndani ya CCM,wapo hapo kwa kuwa magufuli ametaka sio chama,Magufuli ndio serikali na ndio chama na ndio kamati kuu.
Ok, kumbe wewe ni mfuasi tu!
Pamoja na kumnunua na fedha mumemzulumu hili liwe fundisho yule dogo wa Kakonko ukisikia kajitundika usishangaeMtakutana kwenye mbege bwashee!
Je, upande unaotetea hali ikoje? Toa boriti jichoni mwako kwanza.Sasa kura ni za nini kama hilo genge linalojiita kamati kuu ndio linateua? Lengo la hiyo kamati kuu kuteua ni ili kujaza waimba mapambio ya kumtukuza mungu wa Tanzania.
Kamati kuu ina bariki tu haina ubavu wa kupingaWateuaji ni kamati kuu!
Kina nani bwashee?Shauri lenu wenyewe
Off point ni kiashiria cha kukaukiwa HOJA.Je, upande unaotetea hali ikoje? Toa boriti jichoni mwako kwanza.
KuNa uhakika mwaka huu ndio maziko ya chama. Ili hili litimie, Serikali ikubali kuundwa kwa kile kinachodaiwa - Tume Huru ya Uchaguzi, kuondoa sababu ya kushindwa vibaya.
Je, upande unaotetea hali ikoje? Toa boriti jichoni mwako kwanza.
KuNa uhakika mwaka huu ndio maziko ya chama. Ili hili litimie, Serikali ikubali kuundwa kwa kile kinachodaiwa - Tume Huru ya Uchaguzi, kuondoa sababu ya kushindwa vibaya.
Waitara anadhani CCM ni kama Chadema!