Kwa kauli hii ya Haji Manara alipaswa kukamatwa; Serikali endeleeni tu kumlea huyu


nacho jua MUNGU hana dini
 
Mbona waeneza uchochezi
 
Haji anajua fika kuwa wakristo ni wavumilivu.
Angetokea mtu akazungumza kinyume chake, leo mpaka BAKWATA ingeingilia kati.
Inferiority complex kwa wausilamu ni kubwa mno
 
Anayemkimbiza Mwendawazimu ndiye Mwenda wazimu. Jifunze ku-ignore mambo.
 
Nimepitia interview ya Haji Manara aliyofanya EFM nimejiridhisha pasi na shaka hakuna mahali ametamka maneno kama hayo aliyoaandika huu ni uzushi kwa lugha nyingine kuwa makini sana kijana
Umekumbuka kunywa kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili unaokusumbua sana leo?
 
Mbona waeneza uchochezi
Nataka Wakristo tumshughulikie Haji Manara ( kwa Maombi ya Kufunga kumuombea Laana kubwa kwa Mungu ) ili aombe radhi, abadilike na asiwe mropokaji tena na ikiwezekana awe tu Mkimya / Mpole sawa?
 
Una kisirani utafikiri wewe ni serikali us Magufuli. Mara Gwajima, mara Manara. Enzi za kutishia watu wakati wake uliisha mwezi wa 3, 2021.
Nani alikuambia Ukristu una rangi?
Manara kama ajulikanavyo, yuko kwenye mpira, tena wa miguu na si nje ya Simba na Yanga. Anachoongelea daima ni katika eneo hilo tu. Uzushi mwingine zaidi ya hapo hangaika nao wewe unaeuzusha!
 
Absolute Nonsense...!!!!
 
Acha uchochezi,wabambikiaji kawaida hutafuta sababu,imekuwaje hujatimiza azma hiyo unawasukumia wengine watekeleze uovu dhidi ya wengine?
 
Hiyo tafsiri yako haina nafasi kwenye masuala ya mpira,sisi tunajua anamaanisha nini kwenye muktadha wa Football la Bongo...Simba na Yanga akili zetu tunajuana wenyewe,usitutoe kwenye mstari
 
Akili za kiongozi wao ambaye hayupo, huyu bado yuko ndotoni!
 
Rangi ya Vatican na Kanisa Katoliki ni njano na nyeupe, simba na yanga kotekote ipo, msameheni bure huyu ndugu yetu anatafta riziki, hali ni ngumu mtaani, hata wewe ungepewa nafasi utukane watoto wako wale usingeachia ipite.
 
tulia, legeza tako dawa ikuingie sawasawa sindano isivunjikie takoni. Wanasimba dawa ishaanza kuwaingia mlikuwa mnampenda sana manara. Kuamia kwake yanga kimewauma sana, kubalianeni na matokeo hamna namna.
Sisi ndo yanga [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…