THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Hakuna wa kuliua kanisa wewe amka usijekumwaga samadi kwa bed mkuu
Acha kuleta thread za hovyo.
Wananchi ndio tutakaojaji maantiki kati ya kauli yako na yamchungaji Kitima.Friends and Our Enemies...
Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'
Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.
Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.
Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.
Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.
Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.
Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.
Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.
Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.
Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.
Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Wananchi ndio tutakaojaji maantiki kati ya kauli yako na yamchungaji Kitima.
MKOROGO UMEGOMA SASA MNAANZA VIBWEKAFriends and Our Enemies...

Pamoja na misikiti yote yalikuja kwa majahazi ya monsoon winds kubrainwash watu weusi so yote tu ni masikio ya kufa basi!
Uzuri miaka 50 ijayo hakutakua na kitu kinaitwa dini ulimwenguni, tunarudi kw
enye default settings
PhD, Canon laws, shari'a laws, constitutional laws haviondoi upogo wa fikra na kauli zake
Hata mkilia bakora bado and Insha Allah samia is our prezoo hadi 2030.MKOROGO UMEGOMA SASA MNAANZA VIBWEKA
Pumbavu
dawa ni hiyo tumewachoka na uchawa wenu na taifa linaangamiaKutukana ni ushahid tosha kabisa kuwa umeumizwa na maneno haya na majibu huna zaidi ya matusi tuh
dawa ni hiyo tumewachoka na uchawa wenu na taifa linaangamia
Alipigiwa kura na nani?Hata mkilia bakora bado and Insha Allah samia is our prezoo hadi 2030.
Tunajua mmevimba sana kama vipi pasukeni tuh tujue moja.
Post nzima imajaa Kitima, Kitima. Sasa usemi kuwa kanisa katoliki ni sikio la kufa unangiaje hapa?Friends and Our Enemies...
Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'
Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.
Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.
Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.
Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.
Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.
Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.
Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.
Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.
Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.
Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Hiyo labda kwa upande wako.
Ila kwa upande wetu ni vinginenvyo.
Anawaeleza ukweli nyie machawa. Na ndio ukweli.Friends and Our Enemies...