Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Post nzima imajaa Kitima, Kitima. Sasa usemi kuwa kanisa katoliki ni sikio la kufa unangiaje hapa?
Mpndisha uzi ni mpumbavu. bila shaka ni yule aliyeongoza maandamano akashindwa kujibu maswali ya mwandishi. asichokijua ni kwamba KITIMA SIYO KANISA KATORIKI na kanisa siyo kitima.
Hata akiondoka kitima Kanisa litabaki
RIP PADRE PRIVATUS KARUGENDO
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Mpumbavu na mjinga wewe
 
Hilo halifi milele lipo kuishi,mnaoshindana nalo mtakufa na hata vitukuu vyenu ila lenyewe litaishi.
 
Post nzima imajaa Kitima, Kitima. Sasa usemi kuwa kanisa katoliki ni sikio la kufa unangiaje hapa?

Kanisa katoliki linamtuma kitima

Sisi tunadeal nao wote...mtumwa na mtumaji ili tukomeshe hiyo biashara ya utumwa.
 
Alipigiwa kura na nani?
mbona wasimamizi wa uchaguzi walifungiwa na kulazimishwa kumpigia kura baada ya wapiga kura kugoma?
naweza kuthibitisha. ushahidi toka kwa wasimamizi wa mbezi Louis walipojiandikisha watu 460 wakajitokeza watu 6 tu mpaka mchana, Iringa, 360 wakapiga 4 nk. ushahidi upo wakutosha hata mikoa ya kigoma
tatizo siyo kuwa presida. ALICHAGULIWA NA NANI?
Asilimia 98 kisha unaapishwa jeshini tene ukitokea mafichoni NGERENGERE?
Watu pekee ambao waligoma kumpigia kura samia kwa wingi wao basi ni kanisa katoliki.

Na ndiyo maana huwezi kuwaskia walutheri au anglicans wakishiriki kweye upuuzi ambao katoliki wanashiriki.
 
Mmeanza na chuo kikuu kimoja (MMAM) miaka 20+ ilopita vitaongezeka na madrasa na elimu za kufikirika zenye outcome ya kula bikra zitakufa kifo cha kawaida tu, vikiongezeka vikawa angalau 20 mtakuwa mnaelewa falsafa kama za Kitima, tatizo ni ufahamu tu, elimu ya madrasa haiwezi kukupa majibu. Uzuri genzee wanaelewa vizuri science taratibu bila kujali wanatoka upande gani, kizazi hiki kinaondoka na huu usingizi mkongwe wa wakoloni wa kiarabu na kizungu soon utaisha na tutarudi square 1 mkuu usijali!

Hapo ndipo mnafeli.

Mnajua sana kujinasibu na kusoma na tuwapongeze kwa hilo...

Lakini tunauliza elimu hizo zinasaidia nini taifa hili mmejazana serikalini kazi kubwa mnayojua ni kuiba tuh.?

Mmesoma au mmekariri tuh maandishi na kupeana vyeti??

Teh teh teh
 
Have this in your mind: msikiti, kanisa za kiroho/kilokole zinaweza zikafungwa lakini sio catholic,sda na kkkt kufungwa hilo sahau kabisaa. Watapigiwa kelele ili kuwagombanisha lakin kutoa tamko ati funga hilo kanisa hyo n ndoto na hapo ndo utajua the so called rozari mtu anasomewa kinyumenyume hadi ajue hajui. Kama mkristu huwezi kuona mtu i mean kiongozi anafanya dhambi au kosa hata kama sio wa dhehebu hilo usimkemee na ndo kitu anachokifanya kitima. Hapo sasa n yeye anatikisa. Nna mfano ulio hai. Kwa watu wa sirari wanaoifahamu parokia ya isibania kulikua na padre kwa jina la Father Tom Kean enzi hizo nikisomea huko alihama na alisima kama shahidi kwenye scandal ya anglolism kwa anaekumbuka so huwezi kuwa padre ubaki kuwa kazi yako n bibilia tu, no. kuna vitu wamesomea vingi vofauti na bible na lazima awajibike panapohitajika. jiulize n kwa nin kila jambo hata nchi kubwa ikilemewa inaomba msaada aidha wa maombi kwa viongozi wa makanisa. kubali ukatae ndo hivyo.
 
Mmeanza na chuo kikuu kimoja (MMAM) miaka 20+ ilopita vitaongezeka na madrasa na elimu za kufikirika zenye outcome ya kula bikra zitakufa kifo cha kawaida tu, vikiongezeka vikawa angalau 20 mtakuwa mnaelewa falsafa kama za Kitima, tatizo ni ufahamu tu, elimu ya madrasa haiwezi kukupa majibu. Uzuri genzee wanaelewa vizuri science taratibu bila kujali wanatoka upande gani, kizazi hiki kinaondoka na huu usingizi mkongwe wa wakoloni wa kiarabu na kizungu soon utaisha na tutarudi square 1 mkuu usijali!
Morocco, Qatar, Algeria na Misri wameiacha mbali sana Tanzania kiuchumi, elimu ya madrasa inakuza vijana wa mataifa hayo.

Usikaririshwe ukaishia kuitazama dunia katika upeo mdogo.
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Hivi kungekua na uchaguzi wenye tume yenye uwazi, haki, na Tume huru nani angechaguliwa hapaa? Tanzania inakosa kitu kimoja tu: Haki, Uwazi na Tume huru. Yote haya yanayotendeka yasingekuwepo.

Tungemchaguaje huyo Concubine (at 17), School Failure, mwenye uwezo mdogo? Impact kwa nchi unajua ni kubwa kiasi gani? Unajua mumeharibu maisha ya watu kiasi gani, na hii ni dhambi kubwa, mmeteka nchi bila ya ridhaa yao wananchi.

Na hao watu 10,000 aliowaua, hizo lita ngapi za damu? Kwa nini alifanya hivyo, ili abakie madarakani.
 
Ukiamini walikufa watu 10,000 utakuwa na matatizo binafsi.

Huyo huyo form four failure anafanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi muda huu kuliko Rais yoyote aliyemtangulia.

Elimu ina faida kwenye kujitambulisha binafsi lakini unaposhindwa kufaidika na rasilimali zinazokuzunguka ukashindwa kuzigeuza zikawa fedha maana yake elimu yako bado inahitaji kuelimishwa zaidi.
 
Sasa kama ana huo uwezo kwa nini aogope uchaguzi ambao ni uhuru, haki naa kuwa transparent? Kwa nini hataki dialogue? That is weakness. Kafanya mageuzi gani? Taja moja tu, mmeshaanza kuweka narratives zenu ili kufukia mashimo.
 
Watu pekee ambao waligoma kumpigia kura samia kwa wingi wao basi ni kanisa katoliki.

Na ndiyo maana huwezi kuwaskia walutheri au anglicans wakishiriki kweye upuuzi ambao katoliki wanashiriki.
uhesabu kivipi kura za wakatoliki?
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Gauni tena??🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom