Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Sasa kama ana huo uwezo kwa nini aogope uchaguzi ambao ni uhuru, haki naa kuwa transparent? Kwa nini hataki dialogue? That is weakness. Kafanya mageuzi gani? Taja moja tu, mmeshaanza kuweka narratives zenu ili kufukia mashimo.
Sekta nzima ya uchukuzi huwezi kuilinganisha na miaka kumi au kumi na tano iliyopita.

Nenda Tanga uone namna bandari ile inavyofanya kazi muda huu, foleni ya kupakia na kupakua inafika huku karibu na kanisa katoliki ile njia ya Deep Sea yote imejaa malori. Ukarabati uliofanyika pale umegharimu bilioni 580 Tshs.

Ushoroba wa kati (central corridor) kiuchukuzi inamaanisha njia ya kuingizia mizigo kupitia bandari zetu, kwa sasa unaendelea kuboreshwa vilivyo.
 

Kanisa linamuita failure but kwetu sisi kama Taifa ni President mwenye mafanikio kuwahi kutokea.

Hao waliokufa hiyo idadi inatoa kanisa may be wanaijua vizuri kwa kuwa wao ndio waliwatuma wale wahuni

Tunajua mna chuki kupita kiasi na mmevimba mnakaribia kupasuka.
 


Wewe inaonekana una mkataba wa kufumu na uwendawazimu. Father Kitima anaongelea facts, wewe unabwabwaja na ujinga.
Cursed you are and your descendants for you embrace stupidity.

Kila mwenye akili na aliyr mwadilifu wa nafsi anamwelewa Fr Kitima kwa hoja zilizonyoka za kutetea haki za wanadamu wenzake. Kamwe hawezi kusimama au kukubali na mijitu miuaji kama wewe.

Mungu, tunaomba uzidi kumlinda na kumbariki Fr Kitima kwa sababu ana huruma kwa wanadamu wenzake wanaodhulumiwa na mawakala wa yule mwovu.
 

Huwezi kujua haya mafalsafa mkuu, wa mbili havai moja, kaa ukijua tu miaka 50 ijayo dunia haitakua na dini yoyote ni sayansi tu na maAI na mengine makubwa, mashekhe ubwabwa wote watakua washakabidhiwa mabikra kule firdaus wakati gen Alpha inapiga maisha transparently na hakuna kuchinjana ili watu wauaji wakapate K.
 
Morocco, Qatar, Algeria na Misri wameiacha mbali sana Tanzania kiuchumi, elimu ya madrasa inakuza vijana wa mataifa hayo.

Usikaririshwe ukaishia kuitazama dunia katika upeo mdogo.

Yes wana vyuo vikuu vya kutosha wanasoma falsafa madrasani sio kukariri alphabeti za kiarabu na kujenga chuki kwa mapadri wenye pHd zao, wamesota ujue!
 

Usisahu na southern coriddor mkuu

Ile barabara kutoka Mtwara -Tandahimba - Newala - Masasi yote mkandari yuko saiti na mizigo itatoka moja kwa moja bandarini kwenda nchi za jirani kupitia either mtambaswala au songea

Kuna bandari kubwa ya uvuvi inajengwa kilwa haijawahi kujengwa toka nchi hii inapata uhuru...wao wanataka kusema nini hawa waimba kwaya??

Waache wapige kelele
 
Baada ya kuona hamuwezi kulitikisa kanisa sasa mnaanza kutafuta mapadri,sasa poleni sana kanisa ni mfumo sio mtu.

Mtaua kitima wataibuka wengine zaidi,tendeni haki acheni kuua na kuteka watu,fanyeni uchaguzi haki na huru.
 
πŸ€”πŸ€”
 
Raia feki mna haha πŸ˜„ niliwaambieni samia atoboi mkabishq ..nilipo waambieni kuwa samia ana tembelea nyota ya jpm mkabisha sasa kiko wapi anaogopa hata kutoka kwenda nje ya nchi za ulaya sehemu pekee anapoweza kwenda ni kwa wale magaidi wabinua vijambio for nothing ...niliwaambia hakuna mtu anaye amini katika uislamu na akawa mzalendo...muislamu yoyote ana abudu muarabu na kiarabu na desturi za kiarabu hadi kufikia mmatumbi kuamini kuwa peponi watageuzwa waarabu ..je waarabu ndiyo watu pekee wa peponi hadi mmatumbi ageuzwe muarabu ...kwanini asigeuzwe mchina au muindi au mzungu
 

Attachments

  • downloadfile-11.png
    346.9 KB · Views: 19
  • downloadfile-181.jpg
    28.3 KB · Views: 22
  • downloadfile-325.jpg
    57.9 KB · Views: 21
Kitima kama.kanisa ndiyo think tank yenu na msemaji basi bila shaka atakuwa ni chachu ya kuliua hilo kanisa hapa Tanzania

Kwa sababu as we speak heshima ya hilo kanisa imeshapotea imebakia majengo tuh drama kama hizo.

Wishful thinking!

Kanisa limesimama kwenye mwamba mkuu, kwa miaka 2000+ kila waliojaribu kuliua walikufa wenyewe wakaliacha sio mama wala mwaipopo anaweza hata kutingisha seminary tu au kigango! Sembuse kanisa? Amuka mzeeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 

Kwani BAKWATA wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…