Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Hata hicho chuo kikuu kimoja walipewa na Wakristo. Kilikuwa chuo cha TANESCO. Rais mkristo, Mkapa aliwapa bure, na wakristo wakakaa kimya. Fikiria kama wangepewa wakristo, kelele za hao wenzetu zingekuwaje!!

Sasa jengo ni la serikali wewe unaumia nini muimba kwaya??

Mnaiba fedha za umma kila mwaka kwa hila ya MOU...ni za vatican zile??

Mmepigwa PIN bandarin hakuna kupitisha magendo mnalia na kusaga meno kwa kupenda vitu vya bure
 
Ukiwa chawa huwezi kuona elimu ya F.KITIMA Lakini ukiwa smart kichwani Kitima ni bonge la msomi,na hoja zake zimejaa madini leo wewe bila CCM unakukufa mbwa wewe
 
Post nzima imajaa Kitima, Kitima. Sasa usemi kuwa kanisa katoliki ni sikio la kufa unangiaje hapa?

Anawanyima watu usingizi misikitini ujue mkuu! Wakishiba vitimoto wanacheua tu chuki kwa Kitima, mbona Kitima ni tone tu? Ni msemaji tu, akitoka leo wapo wengine wamejaa kwenye maparokia, vigango, jumuiya na wengine bado makinda wapo seminarini kule so akitoka Kitima wanakuja wa kuwatesa kisaikolojia zaidi na zaidi
 
Wishful thinking!

Kanisa limesimama kwenye mwamba mkuu, mkwa iaka 2000+ kila waliojaribu kuliua walikufa wenyewe wakaliacha sio mama wala mwaipopo anaweza hata kutingisha seminary tu au kigango! Sembuse kanisa? Amuka mzee😛😛😛

Kanisa limekufa bado kulizika tuh

Kila waraka wanaotoa tunafungia vitumbua tuh

Teh teh teh
 
Ukiwa chawa huwezi kuona elimu ya F.KITIMA Lakini ukiwa smart kichwani Kitima ni bonge la msomi,na hoja zake zimejaa madini leo wewe bila CCM unakukufa mbwa wewe
Angekuwa msomi angekimbia kuoa na kuishi kwa masterbation??

He huogopi?
 

Hatuwezi tishwa na mtu ambae hata kulea familia hawezi wewe.

Mtu hata kuishi kwa kujitegemea hawezi unamuhofia vipi
 
Kanisa limekufa bado kulizika tuh

Kila waraka wanaotoa tunafungia vitumbua tuh

Teh teh teh

Hahahaha sasa kama limekufa unapoteza muda wa nini kila siku kulianzishia nyuzi bin nyuzi (in Nyaisangaz(RIP) voice)? 😛 😛 😛

Unahaingika na wafu wa nini mkuu, wanakukosesha usingizi?
 
Hatuwezi tishwa na mtu ambae hata kulea familia hawezi wewe.

Mtu hata kuishi kwa kujitegemea hawezi unamuhofia vipi

Familia ndo umeona cha maana sana? Uwezo wako mdogo sana mkuu, familia ya Kitima ni wakatoliki nchi nzima, majukumu yake sio ya kuwa na mke na watoto watano, ni taifa, You heard?

Utateseka sana
 
Hahahaha sasa kama limekufa unapoteza muda wa nini kila siku kulianzishia nyuzi bin nyuzi (in Nyaisangaz(RIP) voice? 😛 😛 😛

Unahaingika na wafu wa nini mkuu, wanakukosesha usingizi?

Lengo ni kuwaambia kuwa wanayoyapanga tunayajua.

Na kuwambukusha kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa na kuwasisitiza waendelee na kazi yao ya kuvaa magauni na kuchunga kondoo.

YA KAISARI WAMWACHIE KAISARI.
 
Angekuwa msomi angekimbia kuoa na kuishi kwa masterbation??

He huogopi?

Ndio akili yenu ilipoishia, hamuwezi kumaliza siku bila kuongelea mambo ya uchi, ndo maana muarabu alijua ukiwaambia hawa watu wakimaliza maisha kinafuata kulalana tu watakuachia kila rasilimali! Tumelogewa uchi na waarabu aisee! 😛 😛
 
Ndio maana nakuambia we umekulia mtaani na malezi yote ni ya.kimtaani?

Kitima hana mke,hana mtoto hana familia.

Uwezo wa kulea familia hana na uwezo wa kuwajibika hana

Unaweza vipi kumpa umuhim mtu kama huyo wa kumsikiliza??
 

Wewe kweli una akili ndogo. Yaani Kanisa katoliki liwe ni sikio la kufa ... eti kwa sababu ya SAMIA..... OMG!!!

Whether uyaite magauni, Kanzu au Majoho, haitabadilisha kitu. Mwambieni mama awaombe Wtanzania msamaha kwa kuwauwa watu 10000 badala ya kuwaomba Wazungu msamaha kwa kuwafungia internet kwa siku 6.
 
Ndio akili yenu ilipoishia, hamuwezi kumaliza siku bila kuongelea mambo ya uchi, ndo maana muarabu alijua ukiwaambia hawa watu wakimaliza maisha kinafuata kulalana tu watakuachia kila rasilimali! Tumelogewa uchi na waarabu aisee! 😛 😛

Bila uchi,bila baba yako mzazi kupenda uchi wewe usingezaliwa

Sasa kitima uchi anasema hapendi amekatazwa na hana mke,mtoto wala familia

Wewe kwa akili yako unawezaje kumpa heshima mtu ambae hana lolote la kusema kwenye maisha kama kitima?
 

Huo muda mchafu wa kuomba msamaha wahuni hatuna

Si naskia mmeeenda kushitaki ICC sasa mnataka msamaha wake wa nini??

Kumbe ni kweli mliwatuma na ndiyo maana hadi idadi mnayo au siyo.?
 
Bila uchi,bila baba yako mzazi kupenda uchi wewe usingezaliwa

Sasa kitima uchi anasema hapendi amekatazwa na hana mke,mtoto wala familia

Wewe kwa akili yako unawezaje kumpa heshima mtu ambae hana lolote la kusema kwenye maisha kama kitima?

Achana na watu wenye cause na mission za maisha mzee, we tangatanga tu utumiwe na sisiemu umalize maisha yako usonge kwa mabikra! Chuki yako inakutesa mwenywe tu na hamna anayeathirika
 
Maza iz here to stay. Subirini 2030.... Kelele zitapigwa but narudia Maza iz here to stay
 
Kitima kama.kanisa ndiyo think tank yenu na msemaji basi bila shaka atakuwa ni chachu ya kuliua hilo kanisa hapa Tanzania

Kwa sababu as we speak heshima ya hilo kanisa imeshapotea imebakia majengo tuh drama kama hizo.
Unataka heshima ya kanisa ipotee lakini haiwezi kupotea kwa maigizo yenu ya vijora na yebo malofa nyie
 
Proving we are arguing with crippled brain!!
Huyo mwenzio anajiropokea tu. Leo ijumaa akitoka msikitini anaenda kusaini posho yake ya wiki pale Lumumba huku kavaa Kanzu(Dera) na Kobazi chini kama wale walioenda ubalozi wa Vatkani.
 
Familia ndo umeona cha maana sana? Uwezo wako mdogo sana mkuu, familia ya Kitima ni wakatoliki nchi nzima, majukumu yake sio ya kuwa na mke na watoto watano, ni taifa, You heard?

Utateseka sana

Mtu ambae hana mke na ni rijali kwa ufupi huyo ni muhuni acha kumeza meza maneno na kutaka kujifariji.

Kiongozi wa dini lazima aishi kwa mfano kama wanadamu wenzake.

Hiyo ni nature ya maumbile...kuishi kwake kwa kupiga nyeto ni kigezo.cha udhalili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…