Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Kitima kama.kanisa ndiyo think tank yenu na msemaji basi bila shaka atakuwa ni chachu ya kuliua hilo kanisa hapa Tanzania

Kwa sababu as we speak heshima ya hilo kanisa imeshapotea imebakia majengo tuh drama kama hizo.
Imepotezwa na wale wavaa vijora walioandamana ubalozi wa vatikani!?! Wavaa kobaz kweli hamjitambui - nomatra warr - kwa sauti ya kondeboy
 
Huyo mwenzio anajiropokea tu. Leo ijumaa akitoka msikitini anaenda kusaini posho yake ya wiki pale Lumumba huku kavaa Kanzu(Dera) na Kobazi chini kama wale walioenda ubalozi wa Vatkani.

Teh teh

Sasa anasema tumewauzia bandari waarabu tunamuuliza sasa tungewauzia vipi vatican na wao hawana pesa zaidi ya misalaba??

Sasa kosa langu ni lipi.
 
Imepotezwa na wale wavaa vijora walioandamana ubalozi wa vatikani!?! Wavaa kobaz kweli hamjitambui - nomatra warr - kwa sauti ya kondeboy

Wavaa magauni wamejivunjia heshima wenyewe na kusababisha hilo kanisa kufa moja kwa moja.
 

Mbna unajichanganya? Mara dini ni chombo cha colonialism mara urijali mara maumbile, umeona maisha ni kutom..ba tu? Ndo mana mnasubiri mabikra 72 mchape k usiku na mchana? πŸ˜› πŸ˜›
 
 
Umemtumia DANTE kimakosa sana kwenye bango lako

Nyie machawa kwanini neno HAKI kwenu ni kosa la jinai?
 
Yes wana vyuo vikuu vya kutosha wanasoma falsafa madrasani sio kukariri alphabeti za kiarabu na kujenga chuki kwa mapadri wenye pHd zao, wamesota ujue!
Usitishwe na hizo PHD, heshimu dini za watu. Ondokana na hiyo mitazamo yenye dharau kwamba madrasa hazina chochote.

CAG wa awamu ya kwanza ya RIP Nyerere alikuwa mzenji Aboud Mohamed muislam.

Wapo wasomi wengi sana wa kiislam wanaofanya makubwa katika uendeshaji mzima wa Tanzania usiwashushe thamani kwa sababu ya madrasa.
 

Yes wana vyuo vikuu vya kutosha wanasoma falsafa madrasani sio kukariri alphabeti za kiarabu na kujenga chuki kwa mapadri wenye pHd zao, wamesota ujue!
Acha kufananisha mashehe na hao wapiga nyeto wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao wana psychological issues mtu hajawahi kutomba taangu azaliwe?
 
Bandari ya uvuvi imeshamalizika, PM Mwigulu alikuwa kule mwishoni mwa Desemba. Muda wowote inakwenda kuanza kazi.
 
Ignored...
 
Acha kufananisha mashehe na hao wapiga nyeto wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao wana psychological issues mtu hajawahi kutomba taangu azaliwe?

Wote mnaongelea nyuchi tu hamna vingine? Tech, science, economics, philosophy? Ni viuno tu wanaume wazee/vijana, hamna satisfaction zaidi ya kutom..bana? Nyeto, mabikra, kulalana, kuzaana?
 
SASA TUWAUZIE VATICAN KIVIPI NA WALE HAWANA HELA ZAIDI YA MISALABA TUH MKUU??

TULIWAAMBIA VATICAN WALETE PESA TUWAPE BANDARI WAO WAKATULETEA MISALABA SASA SISI YA KAZI GANI??
Vatican biashara yao kubwa ni Elimu ndio maana Wakatoliki wameelimika sana na wana uwezo mkubwa wa akili kupitiliza mpaka hawaeleweki na masheikh ubwabwa.
 
Acha kufananisha mashehe na hao wapiga nyeto wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao wana psychological issues mtu hajawahi kutomba taangu azaliwe?
Kuna mambo mengi kwenye maisha zaidi ya kufanya ngono, kwa akili hizi ndio maana mkiambiwa mtapewa mabikira 72 peponi mnakenua meno tu na hata mnakuwa tayari kujilipua na kulipuka wengine muwahi huko.
 
Huyo mwenzio anajiropokea tu. Leo ijumaa akitoka msikitini anaenda kusaini posho yake ya wiki pale Lumumba huku kavaa Kanzu(Dera) na Kobazi chini kama wale walioenda ubalozi wa Vatkani.
😁 😁
 
BIG CHAWA..Mnachojua ni kutengeneza wakatoliki feki, wakatoliki wa vijora na madera.Wakatoliki original hamuwapati ngoooo.Kanisa la katoliki litasimama imara mpaka mwisho wa dunia..
 
Wavaa magauni wamejivunjia heshima wenyewe na kusababisha hilo kanisa kufa moja kwa moja.
Kanisa la katoliki haliwezi kufa mpaka mwisho wa dunia , kanisa katoliki haliwezi kuyumbishwa na yeyote litasimamia misimamo yake mpaka mwisho wa dunia mpaka Kristo atakaporudi..Wewe kwa upeo wako BIG CHAWA unadhani una uwezo wa kulitabiria kanisa la katoliki chochote???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…