Kwa kauli hii ya Rais Samia, Kamanda Mtafungwa bora ujiengue mwenyewe

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200

Afande Mtafungwa kwa Rais Samia kulalamikia idadi ya ajali kuongezeka nchini nakushauri omba hata likizo ya ugonjwa ili uepuke fedheha ya kutenguliwa.

Vinginevyo, wiki hili halitaisha lazima wakutengue kichwa hapo kikosi cha barabarani.

Usiseme hatujakushtua!
 
Aliondoa TRAFIC Barabarani Ili apitishwe mambo yake anasemaje??
 
Hamtafungwa, Hatufungwi, Mutafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…