GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umemaliza?TumbAfu lala mbumbumbu
Tuwaonee huruma Utopolo... Kupunguza ukali wa maneno.... Kama ambavyo tunaona kumwita mtu zeruzeru ni kumdhalilisha, ni heri tumwite albino .... Napendekeza hawa jamaa Tuwaite Cassava badala ya mihogo....Kauli #1
*Wote wanaosema kuwa Nimewatukana wana Yanga SC kwa Kuwaita Wala Mihogo Wapuuzeni kwani ni Waongo na sikusema hivyo"
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo Kauli ili kuwaonyesha wana Yanga SC Uchungu nilionao na ninavyojitoa Kuipambania Yanga SC yao usiku na mchana hivyo wabadilike na waache lawama zisizo na Msingi "
Yaani kuna Mtu GENTAMYCINE namwona kabisa kuwa asipowaomba Msamaha ( Radhi ) wana Yanga SC waliochukizwa nae kwa kuwaita Wala Mihogo kwa kuanza Kujichanganya Kwake huku taratibu ( hasa kwa Kauli zake zenye Dharau na Nyodo ) anaenda kuwa Taahira sasa hivi tu.
Kauli #1
*Wote wanaosema kuwa nimewatukana wana Yanga SC kwa kuwaita wala mihogo wapuuzeni kwani ni waongo na sikusema hivyo."
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo kauli ili kuwaonyesha wana Yanga SC uchungu nilionao na ninavyojitoa kuipambania Yanga SC yao usiku na mchana, hivyo wabadilike na waache lawama zisizo na msingi."
Yaani kuna mtu GENTAMYCINE namwona kabisa kuwa asipowaomba msamaha (radhi) wana Yanga SC waliochukizwa naye kwa kuwaita wala mihogo kwa kuanza kujichanganya kwake huku taratibu (hasa kwa kauli zake zenye dharau na nyodo) anaenda kuwa taahira sasa hivi tu.
Haya majamaa kweli utopolo wala mihogo
hatuitaji Hersi atuombe msamaha,tunachotaka ndani ya mda wake km raisi atupeleke kimataifa tuiletee nchi kombe la CAF,kolo km kolo we endelea kusheherekea robo fainali zako...hatushtuki hata uende robo fainali miaka mia mfululizo coz hayo ni malengo madogo kwa timu kubwa km YangaKauli #1
*Wote wanaosema kuwa nimewatukana wana Yanga SC kwa kuwaita wala mihogo wapuuzeni kwani ni waongo na sikusema hivyo."
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo kauli ili kuwaonyesha wana Yanga SC uchungu nilionao na ninavyojitoa kuipambania Yanga SC yao usiku na mchana, hivyo wabadilike na waache lawama zisizo na msingi."
Yaani kuna mtu GENTAMYCINE namwona kabisa kuwa asipowaomba msamaha (radhi) wana Yanga SC waliochukizwa naye kwa kuwaita wala mihogo kwa kuanza kujichanganya kwake huku taratibu (hasa kwa kauli zake zenye dharau na nyodo) anaenda kuwa taahira sasa hivi tu.
Huyu mzee alikuwa anajisifu kwa kuturoga na kushinda derby
achana na yanga plzKauli #1
*Wote wanaosema kuwa nimewatukana wana Yanga SC kwa kuwaita wala mihogo wapuuzeni kwani ni waongo na sikusema hivyo."
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo kauli ili kuwaonyesha wana Yanga SC uchungu nilionao na ninavyojitoa kuipambania Yanga SC yao usiku na mchana, hivyo wabadilike na waache lawama zisizo na msingi."
Yaani kuna mtu GENTAMYCINE namwona kabisa kuwa asipowaomba msamaha (radhi) wana Yanga SC waliochukizwa naye kwa kuwaita wala mihogo kwa kuanza kujichanganya kwake huku taratibu (hasa kwa kauli zake zenye dharau na nyodo) anaenda kuwa taahira sasa hivi tu.
wewe ujambe unye humuwezi hersiKauli #1

Kwakuwa 'anakuweka' au?wewe ujambe unye humuwezi hersi