GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kauli #1
*Wote wanaosema kuwa nimewatukana wana Yanga SC kwa kuwaita wala mihogo wapuuzeni kwani ni waongo na sikusema hivyo."
Kauli #2
"Ni kweli nilisema hiyo kauli ili kuwaonyesha wana Yanga SC uchungu nilionao na ninavyojitoa kuipambania Yanga SC yao usiku na mchana, hivyo wabadilike na waache lawama zisizo na msingi."
Yaani kuna mtu GENTAMYCINE namwona kabisa kuwa asipowaomba msamaha (radhi) wana Yanga SC waliochukizwa naye kwa kuwaita wala mihogo kwa kuanza kujichanganya kwake huku taratibu (hasa kwa kauli zake zenye dharau na nyodo) anaenda kuwa taahira sasa hivi tu.