Kwa kauli hizi ni kweli Kiba anabaniwa

Bongo movie si alishafanya mrembo kikojozi labda ajaribu taarabu sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuuu swalama? Teh hivi huu uzi unaukweli? Mkuuu.....
 
Mkifatilia maisha ya wasanii hamtayaelewa na hizo bifu zao ndo mnazpa headline we fuatilia kazi yake kama song lake limekukonga moyo sikiliza,cheza,imba mengne waachieni wao..
I LOVE MUSIC
 
Hata kama kweli nassib hakutakiwa kuliongelea hili hususani kile kipengele cha kwamba yeye ndo huulizwa
 
pale ambapo wasanii wako busyy kutafuta hela wamejenga mijumba yao, wewe umepanga mbavu za mbwa alozeeka na bomoabomoa inakusubiri! daily kukopa kifurushi ili kugimbanisha watu eeehh!! Tanzanian!! unashangaa mashabiki wanavyogombana na team cjui nini can' you watu grow huo mziki ni kazi yao wew yako ni ipi?? haya wasanii wakiwa na bifu faida yako nini??
 
Unauliza kwani Kiba ameshawai kutuma miziki yake huko nao wakaisikiliza hata kwa sekunde au?

Nachompendea D ni kwamba kitu kinachohusu wengine huwa hadanganyi. Ameyatamka akijua wengine watakimbilia kuwatafuta wa MTV kutaka kujua ukweli ambapo watashushuliwa maana hawatambuliki na pia kupeleka maneno ya upu.pu tena bora waende na wajitaje majina kabisa wakione cha mtema kuni. Tupiliwa kuleeeeeee
 
Diamond na Alikiba are both superstars with exceptional flavors & fans, although diamond is far better than kiba but he doesn't have any negative effects on kiba's success. Mashabiki wa kiba watabaki kuwa wa kiba milele the same to diamond's fans sasa sielewi chokochoko za nini???? Let's be patriotic promote love & support one another
 
Alikiba anaimba local sana mwanadaresalam
 
Sijaelewa hivi mtv wanafanya mambo km tv za bongo wakupigie kuuliza hii ngoma tuicheze au vipi!!@@@ dimond huu ni ujuha
 
Hahahahahaha hapo taarabu atatafuta ugomvi na mzee Yusuph...

Alisema anaweza Kazi ya udirector labda awe godfather awe anawashootia video vijana hahahahaha
Basi mduara maana yule jamaa wa Zanzibar ushamshinda tayari
 
hivi vitu havizuiliki ila tambua msanii ndio kila kitu mwisho wa Siku...

Afu alikiba anafurahia sana hizi mambo, kila akiongelewa Diamond na yeye yumo kama kivuli na ndio inampa backup kila siku
Kijana siri ya mtungi haya mambo ni makubwa sana hili bifu lisipo patanishwa watatiana ukilema hawa watu na yote ni team wema
Hafu nikuambie kitu hizi media za bongo zote diamond platinum akienda kwenye interview anasema asiulizwe swali kuhusu wema wala ali kiba kama huamini fuatilia interview zake vizuri ni kama gadner na lady jaydee
 
Mti wenye matunda mazuri daima hupigwa mawe mengi
Lakini pia Diamond awe makini au ajifunze kuongea na media kuna baadhi ya vitu si vya kusema upenuni.. Kwa level yake ya sasa ana maadui wengi kuliko marafiki
 
Kiba anahitaji watu wenye akili timamu, aachane kufuatana na desparate women wanaotaka kumtumia ili wabaki kwenye media za mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…