sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Mkuuu swalama? Teh hivi huu uzi unaukweli? Mkuuu.....Bongo movie si alishafanya mrembo kikojozi labda ajaribu taarabu sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu swalama? Teh hivi huu uzi unaukweli? Mkuuu.....Bongo movie si alishafanya mrembo kikojozi labda ajaribu taarabu sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alikiba anaimba local sana mwanadaresalam
Basi mduara maana yule jamaa wa Zanzibar ushamshinda tayariHahahahahaha hapo taarabu atatafuta ugomvi na mzee Yusuph...
Alisema anaweza Kazi ya udirector labda awe godfather awe anawashootia video vijana hahahahaha
Kijana siri ya mtungi haya mambo ni makubwa sana hili bifu lisipo patanishwa watatiana ukilema hawa watu na yote ni team wemahivi vitu havizuiliki ila tambua msanii ndio kila kitu mwisho wa Siku...
Afu alikiba anafurahia sana hizi mambo, kila akiongelewa Diamond na yeye yumo kama kivuli na ndio inampa backup kila siku
Swalama vipi mkuuMkuuu swalama? Teh hivi huu uzi unaukweli? Mkuuu.....
Mtani bwana hayaHa ha ha akaimbe kwaya asituchoshe, naona hadi wewe shabiki wake umechoka 😀
Nini tena mkuuMmmh!
Mti wenye matunda mazuri daima hupigwa mawe mengiIcon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
Akizungumza na TBC juzi, Platnumz amesema anasikitishwa sana na maneno hayo ilhali anafanya juhudi kubwa kujitafutia na kuwatafutia wasanii wengine masoko ya kimataifa.
“Mi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndo huwa nasababisha.” alisema Diamond
“Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yoyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? tuicheze ngoma yake au? mi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?”
Katika ‘line’ nyingine, baba Tiffah amesema timu yake ya Wasafi ndiyo iliishauri kituo cha tv cha Nigeria Sound City na MTV kuanzisha chati za Afrika Mashariki kwenye vituo hivyo.
Chanzo: Timesfm
Kiba ana kipaji mno ila hajui kabisa kufanya kazi ya muziki kibiasharaAlikiba hajui kuwa mziki ni biashara
Haya tupe ukweli basi.S
Kwenye bold si kweli.