Kwa kauli hizi za jeshi la polisi, basi tarehe 9 kazi tunayo

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,670
kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.

Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
 
Sahihi 💯
 
Umeona ehee yaani hapo wanatafuta pa kujifichia endapo wakiuua watu wa kutosha hiyo D9 maana hapo wamesema

1.Kuna kundi la watu kukatana vichwa
2.Kuna watu wataopambana kuzuia mali zao zisichomwe

Yaani hapo hata wakitembeza njugu za kutosha na kuua malaki ya watu watajificha kwamba wameuana wao kwa wao sisi polisi hatuhusiki.
 
Hizi kauli ni tata sana kwa ma great thinker tunaelewa kabisa hawa watu wametoa excuse kabisa ili waje kusema tuliwaambia lakini
 
kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.

Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
Akili punje mno ila wasisahau Icc haina msamaha siku siku za sherehe za uhuru
 
kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.

Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
Ki uhalali ukiwasikiliza akina Babili eti wanataka ku paralyse serikali ? kweli? lazima nguvu itumike kidogo yaani risasi za kichwa tu kwa watu wakaokaidi
 
Hizi kauli ni tata sana kwa ma great thinker tunaelewa kabisa hawa watu wametoa excuse kabisa ili waje kusema tuliwaambia lakini

Kwasisi tuliojaliwa upeo wa kumsoma mtu tumeliona hilo na hata ile barua ya polisi kumtafuta polepole ilikuwa ni kinga dhidi yao ,walikuwa tayari washamuweka kwenye rada walikuwa wanasubiri aingie kwenye 18 wasepe nae!
 
WAANDAMANAJI WANATAKIWA KUMUNG'UNYWA VYA KUTOSHA.WALINIKERA SANA KUNIVUNJIA KIBANDA CHANGU CHA BIASHARA AMBACHO NDIYO KILINIPATIA FEDHA ZA KULIPIA ADA ZA SHULE.POLISI MSICHEKE NA HAWA WAHUNI.
 
Muda wa kucheka na nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali za watu umeisha, sahivi ni maneno kidogo risasi nyingi.

Zitabaki hai zile nyumbu ambazo huwa zinapiga mikwara mitandaoni ila hazitoki kuandamana kazi yao itakua ni kujiliza miezi miwili huku zinapost video za maiti na kulalamika.
 
Mzalendo wa kweli hutanguliza maendeleo ya taifa kuliko hisia, chuki au ubinafsi, na hata anapokuwa na tofauti za kisiasa, kikabila au binafsi, hatumii mianya hiyo kuharibu au kuchelewesha ustawi wa nchi. Badala yake, hutafuta suluhu, ushirikiano na njia za kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya wote. Ni mtu anayekataa kushiriki vitendo vinavyozorotesha taifa kama ubaguzi, uchochezi au uvunjifu wa amani, bali hupigania haki kwa njia halali, za amani na zenye kujenga. Kwa mtazamo wake, maslahi ya nchi huja kwanza, na tofauti za watu huchukuliwa kama changamoto zinazoweza kushughulikiwa bila kuhatarisha umoja na maendeleo ya taifa. #KAZINAUTUTUNASONGAMBELE #TANZANIA #UZALENDO
 
Back
Top Bottom