Sahihi 💯kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.
Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.
Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
Hizi kauli ni tata sana kwa ma great thinker tunaelewa kabisa hawa watu wametoa excuse kabisa ili waje kusema tuliwaambia lakiniUmeona ehee yaani hapo wanatafuta pa kujifichia endapo wakiuua watu wa kutosha hiyo D9 maana hapo wamesema
1.Kuna kundi la watu kukatana vichwa
2.Kuna watu wataopambana kuzuia mali zao zisichomwe
Yaani hapo hata wakitembeza njugu za kutosha na kuua malaki ya watu watajificha kwamba wameuana wao kwa wao sisi polisi hatuhusiki.
Akili punje mno ila wasisahau Icc haina msamaha siku siku za sherehe za uhurukauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.
Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
Ki uhalali ukiwasikiliza akina Babili eti wanataka ku paralyse serikali ? kweli? lazima nguvu itumike kidogo yaani risasi za kichwa tu kwa watu wakaokaidikauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha.
Na utata zaidi utakuja pale jeshi la polisi walipodai kwamba waandamanaji Wana nia ya kuharibu minara ili nchi ikose mawasiliano, hapa naona kabisa network inaweza ikakosekana tena hiyo siku na si kwa sababu ya waandamanaji kuharibu no kwavile washasema hapo.
Hizi kauli ni tata sana kwa ma great thinker tunaelewa kabisa hawa watu wametoa excuse kabisa ili waje kusema tuliwaambia lakini
Kwahiyo kama wamemaanisha ? Km niniHawa jamaa mnachukulia masihara ila ndo wamemaanisha ivo