Kwa kauli hizi za jeshi la polisi, basi tarehe 9 kazi tunayo

Mimi siogopi kufa hata nisipokufa mwezi huu nitakufa tu.

Ila nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali za watu safari hii lazima mpigwe risasi mbele ya mali mtakazoiba au kuharibu hakuna huruma kwa wahalifu.
Sasa kama huogopi kufa unafikili nani anaeogopa kufa?

Akili unazo then unajichetua
 
WAANDAMANAJI WANATAKIWA KUMUNG'UNYWA VYA KUTOSHA.WALINIKERA SANA KUNIVUNJIA KIBANDA CHANGU CHA BIASHARA AMBACHO NDIYO KILINIPATIA FEDHA ZA KULIPIA ADA ZA SHULE.POLISI MSICHEKE NA HAWA WAHUNI.
Ajabu ni kuwa katika picha zote za miili ya watu mliowaua hakuna picha hata moja utaona mtu ameuawa na kuna bidhaa au furushi lolote aliloiba likiwa pembeni, wezi ni mapolisi haohao!
 
Muda huo wao police hawatakuwa na sare?

Kwamba watu hawatachukua Tena video?

Hao watu ambao watakuwa wanalinda Mali zao Kwa bunduki muda huo police watakuwa wapi?

Je wale jamaa walikuwa wanaua raia ovyo wakiwa na nguo za kawaida na walionekana wakiwa pamoja na police wakishiirikiana kuua watakwepaje Hilo?

Kwenye ulimwegu wa Sasa hata ufanye vipi utajulikana tu. Hizo mbinu zao zishafeli tiyr.

Haya hivyo kuhusu minara kweli wamesema Gen z huko TikTok vile hufatalii tu maana kuzima internet serikali ilipata hasara ya mabilionj
 
Nyie mapongo ndio wezi mnasingizia raia, unadhani hatuwajui? Au wewe kuwa nyuma ya keyboard unadhani upo salama, kwa taarifa yako wewe ni hayawani mmoja tu, kesho utakutana na ujumbe wako 😂, mpuuzi wewe. Lazima uliwe kichwa.
Nyumbu we na siku zote nyumbu ni chakula cha mamba
 
Sasa kama huogopi kufa unafikili nani anaeogopa kufa?

Akili unazo then unajichetua
Kama huogopi kufa toka nenda kafanye maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali za watu utazawadiwa kifo na mazishi ya bure.
 
Wao ndio wamepanga kujichinganya na waandamaji na kurusha risasi na kufanya yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…